Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Sure, mwanamke ana haki na uwezo wa kudai talaka, chukua like yako Sir.
Anao uwezo wa kudai talaka ila hana uwezo wa kumpa mumewe talaka.
Sure, mwanamke ana haki na uwezo wa kudai talaka, chukua like yako Sir.
Unajidanganya ladyfurahia...
Naomba uniwie radhi kutofautiana na wewe, lakini ukweli ni kwmaba unawadanganya wenzio..
Yeah nakubaliana na wewe lara 1, lakini kama umenisoma vizuri ninamaanisha kwamba, mwanamke anaweza kutdai talaka na kumuacha mume mkorofi kwa kufuata sheria na akamuach huyo mume na kupewa haki zake zote anazostahili ikiwapo kinga ya kutobughudhiwa na huyo mume.
Sijui umenipata..?
nyie ndio mnatuharibia wake zetu kwa kuwajanjarusha hizi mada wapelekeeni akina ananilea nkya na kijobisimbaSure, mwanamke ana haki na uwezo wa kudai talaka, chukua like yako Sir.
niliwahi kuyasema haya.
Binafsi mie huwa napinga sana kuhusu swala la mahari. Nilisimama kidete kwa dada yangu kuozehwa bila kulipiwa mahari, ingawa baba alitaka sana kuchukua hiyo mahari lakini nilimwambia toka apokee mahari kwa dada zangu waliotangulia ni kitu gani amenufaika nacho au amebadilika kimaisha kwa kiasi gani.
Alikubaliana na mimi japo kwa shingo upande.
Na nilimwambia dada yangu kama maisha ya ndoa yakimshinda ajiondokee maana hatukuchukua chochote kwa mumewe...
Anao uwezo wa kudai talaka ila hana uwezo wa kumpa mumewe talaka.
Anao uwezo wa kudai talaka ila hana uwezo wa kumpa mumewe talaka.
hapa kwani wafikiri kuna nini??
Hapo hakuna Ujanja!
Either MWANAUME akupe au MAHAKAMA ndo ikupe talaka. Ila mwanamke kama mwanamke huwezi kumuandikia Mumeo Talaka 3. Hata ukijitia nunda bado hizo talaka zako sio Legally Recognized, bado ni mumeo!
Mfumo dume bado sanaaa kwenye sekta ya sheria.
inategemea, kwenye imani za kiislam na kikristo ni tofauti, kwenye ukristo pia huna uwezo wa kutoa talaka, unaomba talaka (separation) mahakamani.
Nikija kwa waislam, what is the difference anywy, ke anaomba me anatoa, haki iko pale pale, endapo kunatatizo btn the parties, u can both decide kusuka ama kunyoa.
nyie ndio mnatuharibia wake zetu kwa kuwajanjarusha hizi mada wapelekeeni akina ananilea nkya na kijobisimba
Jaman! Ni wanaume tu hutoa talaka ndoa tunaziona zinavyoteketea! Leo hii na mke atoe talaka kama mme, sidhani kama kuna ndoa itabaki Tz hii!
Mi nahis uzungu mwengine hautufai!
Mmh! Kila kitu mnataka usawa..! Mbona hamtaki jukumu la kuhudumia familia? Eeee!
ni vigumu kwa mwanamke kutoa talaka because yeye ndio ameolewa, thats y wao wanaomba talaka. its the same reason why hutasikia kamwe mwanaume akiomba talaka because yeye ndio muoaji.
lara 1 mdogo wangu mwanamke anahaki ya kudai talaka lkn sio kutoa talaka nafikiri ndicho alichomaanisha Mtambuzi.
lakini pia kwa experience yangu wanawake wengi waliodai talaka zao hasa kwa wale niliowashudia wengi ambao ni waislamu walikutana na pigo kubwa sana la mume kukataa kumpa talaka na hii kwao imekuwa ni adhabu kali sana manake asipokupa talaka huwez kuolewa tena hivyo utabaki tu kuwa mtaliki lkn usiye rasmi.
kifungu hiki na chenyewe bado kina mnyima mwanamke haki yake ya msingi ya kupata maisha ya amani na furaha anayotakiwa kuyapata. mwanamUME anapokataa kutoa talaka hawez kulazimishwa na mahakama atoe talaka na akisema huyu bado nampenda hata kama ni ya uongo hakuna jins ambavyo mahakama inaweza kutengua kauli hii hivyo badala ya kuwa na unafuu kwa mwanamke imekuwa ni adhabu tena mbaya sana.
IKUMBUKWE KWAMBA TALAKA SIO DHABU ILA KUKATAA KUTALIKI NI ADHABU TENA MBAYA SANA KWA MWANAMKE
Wala sijapotosha lara 1.KICHWA CHA THREAD YA MTAMBUZI KINAPOTOSHA UMA!!!!!!!!! Ni kweli Mwanaume tu na Mahakama ndo vinauwezo wa kutoa talaka!
We nawe pesa ndogo ya kununua nyma na vitunguu ndani kwako mpaka uweke ligi na Mkeo? Aaaaaaaaaah! You can do better!. Mimi baba yangu ananunua hadi chumvi mwenyewe, bi mkubwa anamuheshimuje sasa? Mzee mkoloni hapendi tupesa cha mwanamke cha chumvi apigiwe mikelele kibaooo! Wakati hata hakitoshi kujenga ghorofa! You dont demand a womans respect, you earn it!
kwa wakristo ni Separation na sio divorce, na hata separation hutolewa kama kuna adultery, kwenye swala la kutoa talaka, either kwa mke ama mume, still lazima ichukue process ndefu. Lazima wanandoa wasuruhishwe endapo wamepishana kidogo. Hii ni kwasababu familia zina umuhimu mkubwa katika taifa letu. Endapo kusuluhisha kumeshindikana, uamuzi wa mwisho ni talaka. Kunasheria zinazomlinda mwanamke juu ya hili. Mwanamke hatonyimwa haki yake ya kuomba talaka endapo kuna serious problem but process zote lazima zifatwe kama ilivo kwa mwanaume.sheria za kikristo hakuna kutalikiana ila tu kwa uzinzi.
Sheria za kiislamu zinaruhusu talaka lkn hata hivyo mwenye mamlaka yamwisho ya kutoa talaka ni mwanaume. Hivyo iwapo mke atadai talaka bado pia sheria haimbani mwanaume kuitoa talaka hiyo. Jambo hili hugeuka tena adhabu kwa mke. Ndio sababu kwa wanaojua talaka sio adhabu ila kutokutaliki ndio adhabu yenyewe.
Kwani hujawahji kusikia mwanaume anakwenda mahakamani kuomba ndoa yake na mkewe ivunjwe...?ni vigumu kwa mwanamke kutoa talaka because yeye ndio ameolewa, thats y wao wanaomba talaka. its the same reason why hutasikia kamwe mwanaume akiomba talaka because yeye ndio muoaji.
mwanamke kudai talaka ni sawa na inawezekana. Ambalo haliwezekani ni mwanamke kumpa talaka mwenzi wake.. May be wanawake wa India ndio watakaoweza kuwapa waume zao talaka kwa sababu wao (wanawake) ndio hutoa mahari.Inategemea, kwenye imani za kiislam na kikristo ni tofauti, kwenye ukristo pia huna uwezo wa kutoa talaka, unaomba talaka (separation) mahakamani.
Nikija kwa waislam, what is the difference anywy, ke anaomba me anatoa, haki iko pale pale, endapo kunatatizo btn the parties, u can both decide kusuka ama kunyoa.