Mwanamke, Hata wewe unayo haki ya kutoa talaka...!

HAPA PAMENIGUSA SANA MDOGO WANGU lara 1 nimepaste: 4.nina uhuruu wakuishi nitakavyo mimi juu au chini ya sheria ya ndoa maana nikivunjwa taya maumivu hayaaandikiki wala sheria na talaka haziyasikii nayasikia mimi.,nikifanywa kilema ni imekula kwangu na sio kw ahuyu msimamizi wa ndoa wala mahakama wala hizo talaka

5.uvumilivu ni muhimu sana katika ndoa ,ila usivumilie ambapo hakuna suluhisho changanya akili kama uliishi na mtu 2,3,4,5,yrs habadiliki ni kwamba hata badilika hata ifanye nini so toa talaka ikumbukwe pia kila mtu anaingia kwenye ndoa na lengo lake ,akikanyaga nyanya aweze kulipa! aishi vyema !kuzaa na kuongezeka ni last option kwa ndoa nyingi sana ,mind u hawa watu wamekutana ukubwani! ni kuishi kwa akili sana nao !mimi naishi kwa amani sana maana siamini katika makaratasi naamini katika makubaliano ya kwanza na kwangu kila siku ni leo its not too late to start afreash ,thats why natumia hekima na heshima kuishi lakini kunyanyaswa no!talaka ni mdomo wangu sheria unaijua wewe !
Nafikiri bado natumi mila na desturi za mababu zetu.
 
Last edited by a moderator:
heee! ulifunga lini ndoa na mama ngina mdogo wewe, usinichekeshe hapa ofisini bhaana kwani najiandaa kwa mlo sasa, hujaelewa hoja yangu pale hebu cheki tena au bestito Paloma anajua ngoja nimwite akueleeweshe hapo juu
Niende huko kutafuta nini?
Mie nilifunga NDOA YA KIMILA, na swala la kuachana litafuata mkondo wa KIMILA.
Japo siombei hilo litokee.
 
Last edited by a moderator:
Nakiri kwa herufi kubwa maisha yangu hayaendeshwi na sheria yeyote ya ndoa na wala sijui nasitaki kuzijua na japo nina ndoa takatifu ya kikristo ,aim the controller of my own life ,ndoa haitanizika wala jamii haitasikia maumivu yangu ,talaka ninaweza toa bila hata kisheria kwani wakati tunakutana hatukukutania mahakamani wala kwenye baraza la wazee, etc so hata kuachana tutaachania pale tulipokutania na talaka ni neno na sio maandishi kwani at first hatukuandikiana hayo mengine ylikuja tu mbeleni ambayo siyatake very serious kamwe.mioyo mingi imejilaza kwenye mali na faida za dunia ndi sababu kudai talaka au kotoa tallaka inakuwa shida mtu anawaza nikimpa talaka tutagawana mali mimi nakuachia zote naokoa nafsi yangu tu!

1.kama ndoa imenishinda nakuaga tu kwamba nafikiri hatujaweza kuelewana wacha tuachane

2.kama utaona ni umuhimu wewe fuata sheria zilizotuunganisha mimi sipotezi muda zaidi ntatembea na RB usinifanyie fujo

3.talaka ni makubaliano kama tulivyotongozana

4.nina uhuruu wakuishi nitakavyo mimi juu au chini ya sheria ya ndoa maana nikivunjwa taya maumivu hayaaandikiki wala sheria na talaka haziyasikii nayasikia mimi.,nikifanywa kilema ni imekula kwangu na sio kw ahuyu msimamizi wa ndoa wala mahakama wala hizo talaka

5.uvumilivu ni muhimu sana katika ndoa ,ila usivumilie ambapo hakuna suluhisho changanya akili kama uliishi na mtu 2,3,4,5,yrs habadiliki ni kwamba hata badilika hata ifanye nini so toa talaka ikumbukwe pia kila mtu anaingia kwenye ndoa na lengo lake ,akikanyaga nyanya aweze kulipa! aishi vyema !kuzaa na kuongezeka ni last option kwa ndoa nyingi sana ,mind u hawa watu wamekutana ukubwani! ni kuishi kwa akili sana nao !mimi naishi kwa amani sana maana siamini katika makaratasi naamini katika makubaliano ya kwanza na kwangu kila siku ni leo its not too late to start afreash ,thats why natumia hekima na heshima kuishi lakini kunyanyaswa no!talaka ni mdomo wangu sheria unaijua wewe !
Nafikiri bado natumi mila na desturi za mababu zetu.
Nivea, uko sahihi, lakini kuolewa tena sahau, ni mpaka pale utakapopata cheti kinachothibitisha kuvunjika kwa ndoa.
 
Last edited by a moderator:
lara 1 atatokwa povu sana katika hili...
Haoni hatari pingana na ukweli.

We nawe mda mwengine uone aibu! Unaacha kujadili MADA na KUTOA CONTRIBUTION ZA HOJA unakali Lara 1 ana mtazamo gani kwenye hili! Huoni huitendei haki mada!
 
HAPA PAMENIGUSA SANA MDOGO WANGU lara 1 nimepaste: 4.nina uhuruu wakuishi nitakavyo mimi juu au chini ya sheria ya ndoa maana nikivunjwa taya maumivu hayaaandikiki wala sheria na talaka haziyasikii nayasikia mimi.,nikifanywa kilema ni imekula kwangu na sio kw ahuyu msimamizi wa ndoa wala mahakama wala hizo talaka

5.uvumilivu ni muhimu sana katika ndoa ,ila usivumilie ambapo hakuna suluhisho changanya akili kama uliishi na mtu 2,3,4,5,yrs habadiliki ni kwamba hata badilika hata ifanye nini so toa talaka ikumbukwe pia kila mtu anaingia kwenye ndoa na lengo lake ,akikanyaga nyanya aweze kulipa! aishi vyema !kuzaa na kuongezeka ni last option kwa ndoa nyingi sana ,mind u hawa watu wamekutana ukubwani! ni kuishi kwa akili sana nao !mimi naishi kwa amani sana maana siamini katika makaratasi naamini katika makubaliano ya kwanza na kwangu kila siku ni leo its not too late to start afreash ,thats why natumia hekima na heshima kuishi lakini kunyanyaswa no!talaka ni mdomo wangu sheria unaijua wewe !
Nafikiri bado natumi mila na desturi za mababu zetu.
Umechanganya MADESA, huyo sio lara 1 bali ni Nivea..

Uwe unasoma post kwa makini.....Mweh...!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mahakama ndio inayovunja ndoa hata kama mume au mke hataki kufanya hivyo...

SO KUMBE UNAKUBALI MAHAKAMA NA MUME NDO WENYE AUTHORITY YA KUVUNJA NDOA AT ALL TIMES!!!!!!!! In other words Mwanmke kuvunja ndoa ni mpaka hao 2 watoe Authority?!!!!!!!!!! No further question your honor!
 
tunaletewa chakula hapahapa ofisini kwetu si unajua huyu mhindi alivyobahili si ningekuja kwenu hapo kupata kajuice, best
Unaenda hapo KISUTU TEA ROOM au kule MAULANA TEA ROOM mnazi mmoja...?
 
SO KUMBE UNAKUBALI MAHAKAMA NA MUME NDO WENYE AUTHORITY YA KUVUNJA NDOA AT ALL TIMES!!!!!!!! In other words Mwanmke kuvunja ndoa ni mpaka hao 2 watoe Authority?!!!!!!!!!! No further question your highness!
Hata mwanaume hawezi kuvunja ndoa kama anavyotaka, mwanamke anao uwezo wa kukataa talaka mpaka ikathibitishwe na mahakama.
Unachozungumzia hapo lara 1 nimazoea tu, lakini uhalisia talaka haitolewi kama kipeperushi.....
 
Last edited by a moderator:
mimi sikubaliani na wazo lako mwandishi kwenye swala la ndoa mwanaume ndie kichwa cha familia hivyo yeye ndio mwenye uwamuzi wa mwisho hasa kuhusu talaka
wakati mwengine wanawake wanadai talaka bila sababu za msingi.wengine wanadai talaka ili wagawane mali au kapata kisharobaro tayari anadai talaka kwaiyo mwanaume akishagundua haya hawezi kutoa talaka kirahisi
 
Nivea, uko sahihi, lakini kuolewa tena sahau, ni mpaka pale utakapopata cheti kinachothibitisha kuvunjika kwa ndoa.
nikiamua naolewa tena vizuri tu bila bughudha yeyote maana sikai chini ya sheria ya ndoa niko juu yake Mtambuzi sheria ataifata yeye niliyempa talaka na sio mimi ataivunja ndoa yake wakati mimi nasonga namaisha mbele
 
Last edited by a moderator:
mimi sikubaliani na wazo lako mwandishi kwenye swala la ndoa mwanaume ndie kichwa cha familia hivyo yeye ndio mwenye uwamuzi wa mwisho hasa kuhusu talaka
wakati mwengine wanawake wanadai talaka bila sababu za msingi.wengine wanadai talaka ili wagawane mali au kapata kisharobaro tayari anadai talaka kwaiyo mwanaume akishagundua haya hawezi kutoa talaka kirahisi

Kwa wale wanawake wasiojua haki zao uko sahihi.
Nawasikitiakia sana waliooa mabinti zangu.
 
nikiamua naolewa tena vizuri tu bila bughudha yeyote maana sikai chini ya sheria ya ndoa niko juu yake Mtambuzi sheria ataifata yeye niliyempa talaka na sio mimi ataivunja ndoa yake wakati mimi nasonga namaisha mbele
Hayo unayoongea ni maneno tu Nivea, hata kwenye Kanga yapo.
Mume wako kama hamjaachana kwa kufuata taratibu, ana uwezo wa kuweka pingamizi usiolewe tena na ukiishi na mwanaume ana uwezo wa kumshitaki kama mgoni wake na sheria ya ugoni ipo
 
Hata mwanaume hawezi kuvunja ndoa kama anavyotaka, mwanamke anao uwezo wa kukataa talaka mpaka ikathibitishwe na mahakama.
Unachozungumzia hapo lara 1 nimazoea tu, lakini uhalisia talaka haitolewi kama kipeperushi.....

Unapindisha hoja Mtambuzi, Unaleta mazingira ya ucircumstancial scenario ilihali unajua fika hoja yetu sio circumstancial! Kufatia thread yako iilivojipambanu tumeshaestablish main grounds za argument za hii kesi, baada ya kujirizisha kuwa Hali ilivo na Lazima TALAKA ITOKE!

HOJA ILIYOKUWA MEZANI AMBAYO TUNA ARGUE INFRONT OF THE JF JURRY NI KWAMBA JE MWANAMKE ANA LEGAL AND RELIGIOUS AUTHORITY YA KUMU ISSUE MUMEWE DIVORCE?????????

Naomba utetezi wako usimameie kwenye hii Motion.
 
of course yeyote anaweza kutoa talaka ama kuiomba!
kuna taratibu zake, kwa kufuatana na sheria za inji, dini!

haya mambo yakieleweka hakutakuwa nakuchanganyana ovyo!
 
slide-123.jpg

Kuna idadi kubwa ya wanawake ambao wanakaa kwenye ndoa wasizoridhika nazo, ndoa zenye kuwafuja na kuwatesa, ambazo kwao zimepoteza maana na hawana sababu ya msingi kuishi humo. Lakini wanawake hao wamejikuta wakiendelea kuishi ndani ya ndoa hizo kwa hofu tu.

Wamekuwa wakiogopa kudai talaka kwa kudhani kwamba, wao hawapaswi kuomba talaka, bali wanaume ndio wanaopaswa kufanya hivyo na pia wamekuwa wakiamini kwamba, mwanamke kuanza kuomba talaka ni aibu kwa jamii.

Lakini mbaya zaidi ni ile hofu wanayokuwa nayo kuhusu kile ambacho wanaume zao wanaweza kuwafanyia wanapoomba talaka. Huhofia kwamba, kama wanaume hawaridhiki na wao kuomba talaka, wanaweza kuwafanyia vitendo viovu baada ya talaka.
lara 1 hebu soma hapo kwenye RED halafu uje unieleze kama nilikuwa namaanisha kitu gani....LOL
 
Last edited by a moderator:
of course yeyote anaweza kutoa talaka ama kuiomba!
kuna taratibu zake, kwa kufuatana na sheria za inji, dini!

haya mambo yakieleweka hakutakuwa nakuchanganyana ovyo!
Copy to lara 1 and gfsonwin
 
Last edited by a moderator:
Hayo unayoongea ni maneno tu Nivea, hata kwenye Kanga yapo.
Mume wako kama hamjaachana kwa kufuata taratibu, ana uwezo wa kuweka pingamizi usiolewe tena na ukiishi na mwanaume ana uwezo wa kumshitaki kama mgoni wake na sheria ya ugoni ipo
wakati mwingine if u cant convince them confuse them
 
Back
Top Bottom