grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Dada ladyfurahia nimependa sana ujumbe uliomo kwenye signature yako, nina imani yaliyoandikwa humu yamewagusa wengi, hasa kwenye mada hii. Unaonaje ukatupa na andiko linalohusu upande wa pili?yyani umenibarikije grafani 11, kwa hoja yako ungekuwa karibu ningekupa high 5 kwani umeongea point iliyobora zaidi watu wamezidi kujichanganya hata nyumba aza ibada hawazijui unafikiri mume mwema utapata wapi kama huudhuriii kwenye nyumba za ibada? utapata vicheche vyenzako tu na mwishoe kuambulia mijeredi katika NDOA
Last edited by a moderator: