Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,984
- 113,846
Kama hivyo pia sawa usijesema familia tunakuwekea vikwazo😁😁 hamna shida kwa huyu hata 90% ya mahari ntalipa at once buda
Kama hivyo pia sawa usijesema familia tunakuwekea vikwazo😁😁 hamna shida kwa huyu hata 90% ya mahari ntalipa at once buda
Ukimpata wa kukuchezea ndio shida inaanzia hapo na kumjua ni ngumu
Apewe mara ngapi mkuu na tushapokea robo ya mahariMwamba kama yupo serious mpe nafasi
Ni kweli ni kuomba tu ukutane wa kuendana naweAnqjulikana tu
Mtu yeyote ambaye yeye anapenda sana kupokea tu bila kutoa
Hafai
😁Kama hivyo pia sawa usijesema familia tunakuwekea vikwazo
Game overApewe mara ngapi mkuu na tushapokea robo ya mahari
MashemejiHutaki au ?
Christine_1 fanya yote ila sio kumuonesha huyu kijana yasiyohusiana na upendoGame over
Gudubayiii🤣🤣Game over
Njoo wtsp mpenzi me nalog off JfMashemeji
Wapambe mko rada🤣🤣
We huitaki ndoa iliyo njema?Mashemeji
Wapambe mko rada🤣🤣
Ndo yepi hayo🤔Christine_1 fanya yote ila sio kumuonesha huyu kijana yasiyohusiana na upendo
Sirudii tena mwanamke anaeendekeza pesa sitaki hata kumsikia. Huyo alikuwa kausha damu haswa tukikutana inakatika kama 100K hivi na hapo bado anataka zaidi. Ogopa sana mwanamke unampa hela lakini bado anashindwa hata kununua maji ya tsh 500/=
Bado hujakutana na Ke pasua kichwa mkuu, utakuja kulaani siku uliyozaliwa duniani kwa kupigwa matukio endelevu kwa kunguru asiyefugika.kaka, kunguru anafugika mpe makange tu na piga spakos za kwenda, akijichanganya kosa dogo sana kabia juu ndo ile kesi ya kuku unauza ng'ombe makofi ngumi ndo booster ya ndoa
kichwani ajue kbsa ipo siku utamuua akiishi na ideology hii uzee wa pamoja huu hapa kaka
Na wewe unampa nini huyo mtu mpaka ustahili kupewa pesa kila utakapohitaji???Hakuna mtu hapendi pesa
Ila sipendi kuomba!
Napenda mtu anipe mwenyewe
Kwa nilipofikia sitaki mambo mengi natulia tu huku kuangaika mwishowe niangukie kwa ChanuoBado hujakutana na Ke pasua kichwa mkuu, utakuja kulaani siku uliyozaliwa duniani kwa kupigwa matukio endelevu kwa kunguru asiyefugika.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ashakuwa wangu huyu nashukuru wote mlioniwish good luck 😁Christine_1 fanya yote ila sio kumuonesha huyu kijana yasiyohusiana na upendo
Chap kwa haraka 🤣🤣Njoo wtsp mpenzi me nalog off Jf
Atanipa upendo wa kweli na vingine vingiNa wewe unampa nini huyo mtu mpaka ustahili kupewa pesa kila utakapohitaji???
Ndilo la muhimuNi kweli ni kuomba tu ukutane wa kuendana nawe