Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka

Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka

Yaani nikiona mtu anazungumzia habari za vikundi vya sanaa maigizo sijui nini nini napatwa na hasira kweli,.

Kwasababu,.
Kuna dada mmoja anaweza akawa na 17yrs haizidi 21, ameolewa na ana mtoto mdogo ( ye na bwanake wote watoto, jamaa ni kinyozi )... kila siku alikua anamfata mama nyumbani anaomba kama kuna kazi au chochote cha kufanya afanye hata kama ni usafi, basi atafanya atapewa kama ni ef5 au ef2 au ef3,.

Kuna siku nikamuuliza kwani wewe unaweza ukafanya biashara gani akasema ya chakula basi nikakubaliana nae pale nikamtafutia frame na vyombo na vifaa vingine vyote ili aanze kuuza chakula nikamwambia amtafute na mdada wenzie wawe wanasaidiana maana ni mbali kidogo na anakoishi.... Cha ajabu eti anakuja kuniambia yeye ni mwigizaji na amesajiliwa kwenye kikundi cha maigizo so hataweza kuwa anashinda kijiweni kwasababu wana shoot movie sijui nini nini?,. Siku nimekuja kuonyesha hizo movie zenyewe aibu nlikua naona mimi, Amenitia hasara tu pango inaenda bure na sijapata mtu wa kumweka pale,.
Hahaha 😂😂🤣😂😂😂
 
Baasi bwana...

Nikamuuliza sasa ikiwa itafika hadi saa sita inafika na hujapata hafadhali itakuwaje maana hakutokuwa na pikipiki muda huo na Dadaako Jojo hapatikani pia kwao hayupo.

Akajibu tutajua hapo hapo tutafanyaje.

Tukaendelea kupiga stori huku sasa karibia asilimia 70 ya mawazo yangu yakihamia kwenye ngono juu ya mdada huyu.
Tangu alivoshuka kitandani kwa ajili ya kula alikuwa amevaa kitop sijui hilo jina ndiyo sahihi! Kile kinguo cha juu cha ndani kwa mwanamke kama ilivyo singland kwa mwanaume.
Chini alikuwa na kanga sikujua ndani alivaa nini.
Ikawa namtazama manyonyo yake yalivyojichora kwenye kile kinguo nameza tu mate.

hakuwa na uzuri wakufanya nimwandike kama malaika lakini ukimweka katikati ya Nandy zuchu sijuwi anjela sijuwi fina! Ni nandy tu ndiyo atamsumbuwa hao wengine atawagaragaza vibaya.
Kwa kweli nilianza kupitia wakati mgumu taratibu kwani rungu la bwana Tajiri lilishaanza kufura na kuhitaji kumpondaponda kabisa mdada huyu.

nilikuwa napata tabu kuingia katika mada ya kumuomba kitu...wa kwani niliwaza pengine ataona kwasababu nimemsaidia kumhifadhi nyumbani ndiyo maana namuomba tendo.

Mwisho ikawa nimekosa kumakinika kabisa na maongezi bali akili ilikuwa bize kuongalia muondoko wa mwili wake anapoongea hasa midomo na macho.

Hali hii ilimfanya ajistukie na kuniuliza mbona unanitaza hivyo?.

Hapa sasa ndiyo nikapata nguvu ya kujitutumua.
"Hapana nakutazama tu ulivyomzuri"

sasa ndiyo Ikawa kama nimehamishia magoli kwenye uwanja aliokuwa akiusubiri kwa hamu.

Alikaa kimya kidogo kisha akaniuliza hivi Tajiri hauna mpenzi.

Nikamwambia ndiyo.

Akajifanya kukataa hapo kwa Kigezo cha kuwa kijana kama mimi siwezi kuishi mwenyewe tu.
Japo nilijuwa kupitia Jojo lazima anajua kwamba sina mpenzi.

Baasi bwana.. maongezi kuhusu mapenzi yaliendelea huku yeye akiwa huru mno kwenye maongezi hayo kunizidi.
Nilipomuuliza kuhusu mpenzi alijifanya kuponda kuhusu mapenzi kwamba yamemuumiza na kelele nyingine kibao.

Hapo nikapata nafasi ya kuomba anikabidhi moyo wake, huku nikiahidi kuuutuliza moyo wake na ahadi nyingine chungu mbovu.

Hakuwa na pingamizi kwenye hilo ila alisisitiza tu niwe na ahadi za kweli.

Nilifurahi sana kana kwamba nimekubaliwa na mwanamke aliyenisumbua muda mrefu (furaha ya kuigiza, kimoyo moyo nilikuwa nafurahia nyapu)

Nakainuka na kwenda upande wake na kumuinua huku nikumkumbatia kwa hisia.
Nilipoona hakuna pingamizi nikamwinua kinywa juu na kuanza kula mate.

Baada ya kurupushani za dakika kadhaa shoo ikahamia kitandani.

Nilimkula sana yule dada, hadi akili inanikaa sawa na kukumbuka kucheki saa ilikuwa ni saa 8 usiku.

Basi bwana ikawa alfajiri ikawa asubuhi, siku hiyo sikwenda mihangaikoni nilijimaliza sana kwa yule dogo maana nilikuwa na upwiru wa muda kidogo.

mishale ya saa nne hivi ndiyo Jojo anakuja na bado akaniigizia kwamba simu yake ilizima na apofika kwao baada ya kuoga alipitiwa na usingizi.

Baada ya siku kadhaa za mahusiano ndiyo Hanifa akanipanga kwamba walipanga ule mchezo na Jojo na kwamba yeye hana shetani hata mmoja.

Baasi bwana kwakuwa Hanifa alishajua kwamba mimi japo sina cheo chochote kwenye Group lakini nina nguvu jeuri ikamuanza kuvimbia wadada wenzake.
😂😂😂🤣🤣

Lengo la uzi limekwisha timia huku kwingine simalizi mkitaka niuenii..

MWISHO
Tajiri Sina BAYA unajua sana kusimulia halafu Kiswahili kimekaa vyema sana.

Hongera sana kwa hilo.
 
Kisa kingine cha kweli
 
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu.

Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa hilo wazo baada ya kuwa nimeacha kufanya mazoezi na kikundi cha MTWARA SUPER FILM, kikundi maarufu cha maigizo mkoani mtwara. baada ya muda mchache tu tulipokea muitikio mkubwa sana wa watu wa rika na jinsia tofauti kutaka kujiunga na kikundi chetu.

Kikundi hakikuwa na malengo makubwa sana katika kushuti filamu, bali kufanya mazoezi ya sanaa kama burudani tu kwa wanaopenda lakini pia kucheza shoo za majukwaani pale zinapotokea.

Wakati tunaanza tuliweka sheria kuwa mwana kikundi hapashwi kuwa na mahusiano ya mapenzi na mwanakikundi mwingine.

Tulijua wazi kuwa hii ni ngumu kutekelezeka lakini tukifanya hivo ili kupunguza mazoea na mzaha mwingi kwenye kikundi.

Tukapanga uongozi.
M/kiti na katibu.
Mwalimu/muongozaji wa mazoezi.

Nilikwepa kila cheo ili kukwepa mazingira ya kujipa u-father lakini pia kuwapa ukubwa wenzangu ili wawe na hamasa maana mimi ndiyo nilikuwa muhitaji mkubwa wa jambo hilo (Hadi leo nafanya sanaa)

PICHA LENYEWE LINAANZA HAPA SASA.

Siku moja wakati nafika tizi na wanangu nikamuona mdada ambae tulikuwa tunamfahamu akiwa na wadada wawili wa kwenye kikundi chetu.
Dada huyu tutamwita HANIFA.

Hanifa ni mdada anaeishi mtaa wa tatu kutoka mtaani kwetu, kwa muda huo alikuwa na kama miaka 20 hivi ambapo mimi namzidi umri kwa miaka michache.
Japo wengi tuna mfahamu lakini hakuna mtu ambae aliwahi kuwa na mazoea nae kabla zaidi ya Dada mmoja miongoni mwa wale wawili aliokuwa ameketi nao, dada huyo TUtamwita JOJO umri 25.

Muda wa kuanza mazoezi ukawadia tukaanza na mazoezi ya kukimbia na baadae tukarudi kujipanga katika mistari (Mazoezi tulikuwa tunafanya jioni katika eneo la shule)

Jojo akaomba kuongea na Mwalimu, kisha akamtambulisha uwepo wa Hanifa na kumwambia ameomba kujiunga na Group na siku hiyo baada ya matizi angechukua fomu na kuijaza, (kuchukua fomu ilikuwa ni Tsh. 2000.)
Hivyo yeye Jojo ana muombea nafasi awe mshiriki wa mazoezi kwa siku hiyo.

Ticha akakubali ombi la Jojo na Hanifa akaja kuungana nasi katika matizi.
Ticha wetu umri ni 22 ila tulimpa uticha kwa sababu ni mtu mwenye misimamo mno, misimamo yake ukilinganisha na umri wake na umbo lake la ufupi inakuwa ni kama kichekesho yaani hafananii kabisa.

Basi bwana..
Tajiri kama kawaida nikajizolea point zangu pale kwa kuwachachafya wapinzani wangu katika sini bunifu siku ikapita.

TAJIRI nimechoka kuandika ngoja nipost hii niandike sehemu ya pili na ya mwisho.

Siku ya tukio binti alijifanya ana mashetani ili nimtafune.

MUENDELEZO UNAKUJA DAKIKA CHACHE, ATAKAESEMA HII NI CHAI APIKE YA KWAKE.
Chai
 
Back
Top Bottom