Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka

Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka

Baasi bwana...

Nikamuuliza sasa ikiwa itafika hadi saa sita inafika na hujapata hafadhali itakuwaje maana hakutokuwa na pikipiki muda huo na Dadaako Jojo hapatikani pia kwao hayupo.

Akajibu tutajua hapo hapo tutafanyaje.

Tukaendelea kupiga stori huku sasa karibia asilimia 70 ya mawazo yangu yakihamia kwenye ngono juu ya mdada huyu.
Tangu alivoshuka kitandani kwa ajili ya kula alikuwa amevaa kitop sijui hilo jina ndiyo sahihi! Kile kinguo cha juu cha ndani kwa mwanamke kama ilivyo singland kwa mwanaume.
Chini alikuwa na kanga sikujua ndani alivaa nini.
Ikawa namtazama manyonyo yake yalivyojichora kwenye kile kinguo nameza tu mate.

hakuwa na uzuri wakufanya nimwandike kama malaika lakini ukimweka katikati ya Nandy zuchu sijuwi anjela sijuwi fina! Ni nandy tu ndiyo atamsumbuwa hao wengine atawagaragaza vibaya.
Kwa kweli nilianza kupitia wakati mgumu taratibu kwani rungu la bwana Tajiri lilishaanza kufura na kuhitaji kumpondaponda kabisa mdada huyu.

nilikuwa napata tabu kuingia katika mada ya kumuomba kitu...wa kwani niliwaza pengine ataona kwasababu nimemsaidia kumhifadhi nyumbani ndiyo maana namuomba tendo.

Mwisho ikawa nimekosa kumakinika kabisa na maongezi bali akili ilikuwa bize kuongalia muondoko wa mwili wake anapoongea hasa midomo na macho.

Hali hii ilimfanya ajistukie na kuniuliza mbona unanitaza hivyo?.

Hapa sasa ndiyo nikapata nguvu ya kujitutumua.
"Hapana nakutazama tu ulivyomzuri"

sasa ndiyo Ikawa kama nimehamishia magoli kwenye uwanja aliokuwa akiusubiri kwa hamu.

Alikaa kimya kidogo kisha akaniuliza hivi Tajiri hauna mpenzi.

Nikamwambia ndiyo.

Akajifanya kukataa hapo kwa Kigezo cha kuwa kijana kama mimi siwezi kuishi mwenyewe tu.
Japo nilijuwa kupitia Jojo lazima anajua kwamba sina mpenzi.

Baasi bwana.. maongezi kuhusu mapenzi yaliendelea huku yeye akiwa huru mno kwenye maongezi hayo kunizidi.
Nilipomuuliza kuhusu mpenzi alijifanya kuponda kuhusu mapenzi kwamba yamemuumiza na kelele nyingine kibao.

Hapo nikapata nafasi ya kuomba anikabidhi moyo wake, huku nikiahidi kuuutuliza moyo wake na ahadi nyingine chungu mbovu.

Hakuwa na pingamizi kwenye hilo ila alisisitiza tu niwe na ahadi za kweli.

Nilifurahi sana kana kwamba nimekubaliwa na mwanamke aliyenisumbua muda mrefu (furaha ya kuigiza, kimoyo moyo nilikuwa nafurahia nyapu)

Nakainuka na kwenda upande wake na kumuinua huku nikumkumbatia kwa hisia.
Nilipoona hakuna pingamizi nikamwinua kinywa juu na kuanza kula mate.

Baada ya kurupushani za dakika kadhaa shoo ikahamia kitandani.

Nilimkula sana yule dada, hadi akili inanikaa sawa na kukumbuka kucheki saa ilikuwa ni saa 8 usiku.

Basi bwana ikawa alfajiri ikawa asubuhi, siku hiyo sikwenda mihangaikoni nilijimaliza sana kwa yule dogo maana nilikuwa na upwiru wa muda kidogo.

mishale ya saa nne hivi ndiyo Jojo anakuja na bado akaniigizia kwamba simu yake ilizima na apofika kwao baada ya kuoga alipitiwa na usingizi.

Baada ya siku kadhaa za mahusiano ndiyo Hanifa akanipanga kwamba walipanga ule mchezo na Jojo na kwamba yeye hana shetani hata mmoja.

Baasi bwana kwakuwa Hanifa alishajua kwamba mimi japo sina cheo chochote kwenye Group lakini nina nguvu jeuri ikamuanza kuvimbia wadada wenzake.
😂😂😂🤣🤣

Lengo la uzi limekwisha timia huku kwingine simalizi mkitaka niuenii..

MWISHO
 
Back
Top Bottom