Mwanamke akikuhitaji ana code ngumu sana kueleweka

1746629595023.jpeg
 
Yaani nikiona mtu anazungumzia habari za vikundi vya sanaa maigizo sijui nini nini napatwa na hasira kweli,.

Kwasababu,.
Kuna dada mmoja anaweza akawa na 17yrs haizidi 21, ameolewa na ana mtoto mdogo ( ye na bwanake wote watoto, jamaa ni kinyozi )... kila siku alikua anamfata mama nyumbani anaomba kama kuna kazi au chochote cha kufanya afanye hata kama ni usafi, basi atafanya atapewa kama ni ef5 au ef2 au ef3,.

Kuna siku nikamuuliza kwani wewe unaweza ukafanya biashara gani akasema ya chakula basi nikakubaliana nae pale nikamtafutia frame na vyombo na vifaa vingine vyote ili aanze kuuza chakula nikamwambia amtafute na mdada wenzie wawe wanasaidiana maana ni mbali kidogo na anakoishi.... Cha ajabu eti anakuja kuniambia yeye ni mwigizaji na amesajiliwa kwenye kikundi cha maigizo so hataweza kuwa anashinda kijiweni kwasababu wana shoot movie sijui nini nini?,. Siku nimekuja kuonyesha hizo movie zenyewe aibu nlikua naona mimi, Amenitia hasara tu pango inaenda bure na sijapata mtu wa kumweka pale,.
 
Baby kwanini hukunishirikisha kwenye hili..?
 
Hz muvi zimeingiliwa,nipo chaka huku lakin vijana nawaona wanavyohangaika

NIliwah wasikiliza wawili wakiongea mmoja akijisifu kwamba ana account youtube na ina wafuasi wengi tu kupata views buku na kuendelea ni rahis tu,sasa akawa anamwambia kijana mwenzie watafute washirik wengine waanze kupiga hela,utazan ni rahis hvyo
 
🤣🤣🤣 sasa nikupe namba Hanifa au za Jojo?
 
Baasi bwana...
Mdogo Mdogo tukaanza safari tukaelekea home.
Tukafika nyumbani ninapoishi, nyumba ilikuwa ya chumba tatu lakini ni chumba kimoja tu ndiyo ninakitumia hadi sebuleni sikuweka chochote maana nyumba ilikuwa haijakamilika ujenzi.

Nikafungua na kuwakaribisha ndani nikawaacha chumbani mimi nikaenda msalani kuoga nikiwa na nguo nilizopanga kuzivaa baada ya kuoga.

Nilipomaliza nikarudi tena chumbani, Hanifa alikuwa kitandani amejifunika shuka gubigubi katokeza kichwa tu😂
Jojo alikuwa kwenye kiti.

Nilipoingia chumbani jojo atuaga na kusema atarudi muda sio mrefu.
Hapo ilikuwa ni saa mbili kasoro dakika chache tu.

Baaasi bwana...
Nikaanza kumuogelesha hanifa nae akinijibu kivivu. baada ya kama dakika kumi naa hivi tukawa tunapiga stori kabisa hadi nikahisi sasa huyu yupo sawa nikampigia simu Jojo lakini hakupatikana.

Nikamuaga hanifa ili kwenda kucheki chakula kwa bimkubwa, ambae alikuwa akiishi mbali kidogo mwendo wa kama dakika 7, 8 hivi.

Nikafika kwa bimkubwa na kweli nilikikuta chakula kwani yeye hupenda kupika mapema.

Nikabeba chakula na kurudi home.
Nikamkuta Hanifa na kumuuliza kuhusu Jojo akasema hajafika.

Nikapiga tena namba ya Jojo bado haikupatikana.

Nikamuuliza Hanifa atakula kwa muda huo akasema sawa nikaandaa chakula tukala.

Tulipomaliza kule nikamuuliza kama tunaweza kwenda kwao akajibu anajihisi hafadhali lakini kwa kupanda kwenye pikipiki bado hivyo tusubiri kidogo muda huo ilikuwa ni saa tatu mwanzoni.

Nikampigia dogo mmoja akamcheki jojo kwao.
Baada ya muda dogo akanitumia ujumbe kwamba Jojo kwao hayupo.

Muda ukaenda huku nikiongea mambo mengi na Hanifa na kunifanya nigundue hanifa ni msichana mwenye madini kichwani hasa ya kimaisha (japo ukweli haikuwa hivyo ila alikuwa ananiigizia tu)

Tukaongee hadi saa nne huku kila mmoja amekaa kwenye kiti katikati yetu kuna meza ndogo ambayo tuliweka chakula.

Nilipomuuliza kama naweza kumpeleka kwao muda ule akasema bado hajihisi sawa kupanda pikipiki, hapa sasa kwa mbaaaaaali akili ya kiume ikaanza kunijia na kuanza kuhisi labda Hanifa yuko hapa kwa mpango maalumu.

'Sasa kama mpaka hii saa nne hayupo sawa kwenda kwao atakwenda saa ngapi sasa!'

Nilijiwazia huku sasa mawazo ya kuutathimini mwili wa anifa yakinijia kichwani

JAMANI KUANDIKA NI KAZI HIYO IJAYO KAMA ITAKUWA NDEFU NAILIPUA TU ILI IWE YA MWISHO.
 
Andika wewe yani hapo tu nimesoma dk mbili!
 
Hz muvi zimeingiliwa,nipo chaka huku lakin vijana nawaona wanavyohangaika

NIliwah wasikiliza wawili wakiongea mmoja akijisifu kwamba ana account youtube na ina wafuasi wengi tu kupata views buku na kuendelea ni rahis tu,sasa akawa anamwambia kijana mwenzie watafute washirik wengine waanze kupiga hela,utazan ni rahis hvyo
Hahah😃😂😂😂,.
Wanasema tusiwakatishe tamaa lakini hapana bwana
Wakikua wataacha
 
Back
Top Bottom