Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
Unajua hii wizi ipo kitambo sana hata mimi niloshawahitapeliwa sasa sijui ndo huyo maana ni muda alilamba laki 9 zangu sasa sijui na mimi niende kumng'ang'ania. Daa ila Polisi watalishughulikia kwa ipasavyo kwani wana vitengo madhubuti kama cyber crime. Onyo watu wasijifanye bush loya wakaharibu kesi