Mwanamama Tapeli wa Vodacom Akamatwa Dar

Mwanamama Tapeli wa Vodacom Akamatwa Dar

Duh mwanamke huyo wa kichaga nampa hongera coz anaitafuta hela kwa udi na uvumba ili aipate kwenda chooni safi sana mwanamke mwenzangu hiyo ni sawa na ajali kazini mama!!!
 
Huyu sio Mmachame, sio Muarusha, ni Msiha!, Wamachame hawana jicho zuri hivi!.

Hata hivyo wanamsingizia bure tuu dada wa watu!, kwa hii sura mimi nilivyoiangalia tuu, haiwezikana dada huyu kuwa mwizi!.

Kwa msio jua sheria, everybody is presumed to be innocent until proven guilt, hivyo acheni kumsakama bure dada rembo wa watu bado hana hatia yoyote!.

Pasco[/QUOTE]

pasco kipenzi cha warembo habari za kuamka?
 
huyu niwale wale wezi wahii nchi.mramba.sumae lowasa.na m
oshi arusha
 
Pasco kipenzi cha warembo habari za kuamka?
Imany, naomba unitendee haki!, haya ya kuitana kipenzi cha warembo sio!.

Mimi niko just appreciative kwa yote, na appreciate beauty!, ku appreciate sio saws na kuwa kipenzi!.

Pasco
 
Kumbe Watanzania tunaweza kutambuana kabila kwa kuangalia sura ya mtu??? mdukuzi
bigurube kuna makabila hayajifichi utawajua tu kwa kuwaaangalia mfano wachaga kwa miguu yao mibaya na matiti makubwa au rangi nyeupe,wahaya ,wapemba,wengine kwa mavazi na alama zao mfano wamasai,wagogo wenye ndonya,wamakonde wanaochanja chale,wadengereko pia wanachale karibu na masikio nkna wanawake wa mbeya na iringa kuwa kama mabaunsa
 
Una ugomvi na wachagga naona, ngoja nimuite mamkwe Mamndenyi aje hapa akusikie😛
 
Last edited by a moderator:
Incidentally Tiba, sura yake inafanana sana na avatar yako!

Shieka,

Huu sasa ni uchokozi wa wazi dhidi yangu. Labda na mimi ni mkikuyu je?????

Tiba
 
Last edited by a moderator:
Imany, naomba unitendee haki!, haya ya kuitana kipenzi cha warembo sio!.

Mimi niko just appreciative kwa yote, na appreciate beauty!, ku appreciate sio saws na kuwa kipenzi!.

Pasco

kumradhi kaka mkubwa. sasa ngoja niku pm unipe mwongozo mana nyie mnajua mengi,unaweza ukanipa muongozo wa kiungwana.
 
Vodacom inayorusha kila aina ya matangazo kupitia SMS ishindwe kuwapa habari wakala wake kwenye mabadiliko ya kibiashara kupitia officials lines, kama tamko rasmi kupitia TV au official messages mpaka aje mtu na wewe umuamini.

Wacha waibiwe tena ningekuwa polisi ningesema watakaoingia mkenge they deserve it.
 
Back
Top Bottom