Vodacom fuatilieni wakala mkuu wa M-pesa Mbeya mjini anawaharibia kazi!!!!

ufumawicha

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
504
209
Kwanza niwapongeze sana kuwa kwa habari ya huduma za kipesa,M pesa mnajitahidi.Mawakala mnao wa kutosha maeneo mengi na hata hapa mjini Mbeya mambo ni mazuri.

Ninawaandikia uzi huu si kwa kuleta majungu wala chuki ila ni kuwataadharisha kuwa biashara ni ushindani. Mimi ni mfanyabiashara ndiyo maana nimeliona hilo. Wakala wetu huyu mkuu amekuwa na lugha mbaya sana hasa kwa wateja hapa namaanisha wale mawakala wadogo walio chini yake.

Mbaya zaidi amekuwa akiwasumbua hata mawakala wapya. Anaweza kuwajulisha kuwa till zao zimefika lakini kuwapatia inakuwa shida. Hii inaonyesha mazingira anayoyatengeneza tunaweza kuwapoteza mawakala hawa wapya.

Hii ni hasara kwa kampuni. Cha ajabu huyu ni mtu mzima ambaye anaogopwa hata pale ofisini. Vodacom changamkeni. Fuatilieni tabia ya wakala wenu huyu mkuu. Anawaharibia kazi!!!Namba yake ya simu ni 0767814940.
 
Sema na wewe ni mteja mpya unazungushwa kupewa till .Usitudanganye kuwa unawaonea huruma mawakala wapya.Kwani Mbeya wakala mkuu ni mmoja hadi ulalame si ukachukue till kwa mwingine
 
Anachoongea mdau ni kweli kabisa. Nimekutana na mwakala wa mpesa wawili wakilalamikia hili kiasi kwamba kuna wengine wamelazimika kuhama mtandao. Vodacom bila shaka mtasikia kilio hiki ebu mwondoeni huyu bwana pale mbeya. Vodacom kumbukeni mbeya ni moja wapo ya mikoa mliyo na Wateja wengi
 
Back
Top Bottom