mchaga wa Machame kule wanakotoka lema na mbowe
View attachment 227513[/QUOTE]huyo kama sio mmachame muarusha
hrf anaonekana kama mchaga vile,
Husahau kuwataja waume zako?! dah!
Mbona sura yake kama mkikuyu vile!!!!!
Tiba
hrf anaonekana kama mchaga vile,
Kiepe.
swissme
Huyu sio Mmachame, sio Muarusha, ni Msiha!, Wamachame hawana jicho zuri hivi!.
Hata hivyo wanamsingizia bure tuu dada wa watu!, kwa hii sura mimi nilivyoiangalia tuu, haiwezikana dada huyu kuwa mwizi!.
Kwa msio jua sheria, everybody is presumed to be innocent until proven guilt, hivyo acheni kumsakama dada wa watu bado hana hatia yoyote!.
Pasco
...huyu atakuwa kaanza utapeli baada ya kukosa wq kumkuna si bure
kweli mjini shule,duu hata uoga hana...!?
mchaga wa Machame kule wanakotoka lema na mbowe
mchaga wa Machame kule wanakotoka lema na mbowe
Matunda ya Ufisadi wa ccm yanaanza kuonekanaDu! uoga wa nini ni kitu amezoea kufanya? ni kama yule dr. feki aliekamatwa muhimbili, alikamatwa mara ya kwanza sijui kafanyajefanyaje akawa huru akarudi tena akakamatwa mara ya pili, na kama ni mchaga basi machame, wanawake wa kimachame ni nuksi balaa, utapiga atatoa ukunga tu lakini hata chozi hamna..!!