Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 20
Fikiria ni watu wangapi humu ndani humwandikia Mwanakijiji au Lula wa Nzela kwa kutumia Email zao halisi au kumpigia simu na kuongoea naye. je kama huyu mtu si mtu mwema (kama tunavyoaminishwa) kwenye mfumo gandamizi kama huu, kundi kubwa hilo la watu liko kwenye hatari kiasi gani?
Mpendwa Kigarama, kama wewe ni mTanzania halisi acha chuki binafsi, lakini kama wewe sio mTanzania basi endelea na chuki zako kama za watani wetu.