Mwanakijiji ni nani?

Status
Not open for further replies.
Fikiria ni watu wangapi humu ndani humwandikia Mwanakijiji au Lula wa Nzela kwa kutumia Email zao halisi au kumpigia simu na kuongoea naye. je kama huyu mtu si mtu mwema (kama tunavyoaminishwa) kwenye mfumo gandamizi kama huu, kundi kubwa hilo la watu liko kwenye hatari kiasi gani?

Mpendwa Kigarama, kama wewe ni mTanzania halisi acha chuki binafsi, lakini kama wewe sio mTanzania basi endelea na chuki zako kama za watani wetu.
 
Hey Ladislaus is not that serious and you guys going hard for this nonsense he was just asking out of curiousity we need to stop this childish let's focus on serious issue by nature we all need to be careful on who we talk to by the way I like Mwanakijiji's contribution on this site he is amazingly up to date.Mr Mwanakijiji keep doing what you do thumb's up.
 
Mwanakijiji show inaanza baada ya muda gani?
kabla sijalowea kwa Gq na malovee ya dinah
 
inaanza wapi? bongoradio au?

tuko mwanakijiji.com ukiingia, nenda kwenye "Home" page (unatoka kwenye forum) na upande wa kulia chini ya Videos, habari na kura utaona blinking sign ikisema "mwanakijiji live".. na chagua player yako hapo. Sijajua kama bongoradio nao wanatupata, ngoje nicheki na mzee mzima GQ
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom