Mwanakijiji ni nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanakijiji ni nani?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Kigarama, Jan 18, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2009
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kutokana na watu humu ndani kujuana kwa majina bandia au majina ya kuwasiliana imekuwa vigumu kujua uhalisia wa mtu

  Lakini baada ya kufuatialia kwa makini kwa muda mrefu nimefikia hitimisho kwamba mmoja wa wanaforum wa Jamiiforums si mtu wa kawaida, mwanaforums huyo si mwingine bali ni Mzee mwanakijiji!

  Mzee mwanakijiji ambaye kwa jina lingine ni Lula wa Nzela anayeandikia Gazeti la Raia mwema inahitajiwa kujulikana walao wasifu wake kama siyo lazima jina lake halisi.

  Kwa sababu inavyoonekana kwa namna ya ajabu kabisa yeye ni mmoja wa wanaforum mwenye ushawishi mkubwa sana kwetu. hali ya ushawishi wake mwanakijiji inasababisha (siyo kupelekea) kutaka mtu aliye nyuma ya jina hili ni nani na ajenda yake kwa watanzania ni nini

  katika siku za hivi karibuni nimeona uandikaji wa mwanakijiji unaelekea kule kwenye aina ya uandhishi wa Rai enzi wanamtandao wanamtayarisha Kikwete kuingia Ikulu. mwanakijiji amebadilika au amebadilishwa?
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  I remember to have read somewhere; Great minds discuss...
   
 3. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kigarama watu makini hawajadili watu wanajadili yale ya kutoa watu hapo walipo na kuwapeleka katika maisha bora zaidi hata wewe nakushauri ufanye hivyo hivyo mambo ya mwanakijiji sisi hayatuhusu kinachotuhusu ni mabandiko yake jukwaani hata kama ni nani tutachukuwa tu yale ambayo yanafaida katika maisha yetu ya sasa na hapo mbeleni
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2009
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Bahati mbaya siyo kila mtu ana uwezo wa kuchambua nini cha kuchukua na nini cha kuacha. Hata wale waliongozwa na Kibwetere kwenda kwenye maangamizi yao wenyewe pia walikuwa watu!
   
 5. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ndio walikuwa watu angalia wakati wao walivyoishi na maeneo waliyoishi wao --- ule ulikuwa wakati wao na wamepata ya wakati wao kwahiyo huu ni wakati wa sasa jamii yetu ina mambo mengi ya kujidili ya kupeana maarifa kila mtu atumie wasaa alionao katika fani yake kuhakikisha anaitoa jamii yake hapo ilipo kwenda hatua zingine
   
 6. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2009
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kujadili watu ni kujadili wanavyovaa,walivyoumbwa (wazuri au wabaya) wanapoishi,aina ya wenzi wao,kabila lao kama zuri au baya na mambo yanayofanana na hayo.

  Kwa mfano huwezi kujadili kufanikiwa au kutofanikiwa kwa Ujamaa katika Tanzania bila ya kumtaja Nyerere au ubovu na uimara wa serikali ya Marekani inayomaliza muda wake kesho bila ya kumtaja George Bush.

  mimi simjadili mwanakijiji kama yeye lakini najaribu tufikiri zaidi ya kile tunachoaminishwa kuwa ndiyo rangi halisi ya Mzee mwanakijiji?
   
 7. H

  Habarindiyohiyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Of all people.......hivi umeshampata Suzan wa Mbezi?

  ......ndiyohiyo
   
 8. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2009
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nimekuelewa SHY, lakini chukua mfano wa kijinga kabisa. Simba wanatafuta mganga wa kuiloga Yanga,halafu mmoja wa mwanachama wao maarufu anawaelekeza kwa mganga anayefaa. lakini huyu mwanachama kumbe ni mamluki aliyepandikizwa na Yanga ili kujua siri za Simba.... Tafakari
   
 9. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kigarama ndio maana nimekuwa na mashaka na wewe toka hapo mwanzo sasa umeleta mambo ya ushirikina yaani mpaka wakati huu unaamini kwa namna fulani katika ushirikina kwenye dunia hii inayotakiwa kuendelezwa kwa nguvu kubwa

  kigarama kaa chini fikiria tumia fani yako kuelewesha jukwaa hili hakuna aliyetayari kuona una ongelea watu wasiokuhusu kwa faida ya nani ? Ukishamjua halafu iweje ?
   
 10. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2009
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Fikiria ni watu wangapi humu ndani humwandikia Mwanakijiji au Lula wa Nzela kwa kutumia Email zao halisi au kumpigia simu na kuongoea naye. je kama huyu mtu si mtu mwema (kama tunavyoaminishwa) kwenye mfumo gandamizi kama huu, kundi kubwa hilo la watu liko kwenye hatari kiasi gani?
   
 11. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,190
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Invisible, move this thread to "Entertainment Forum" au "Celebrities Forum" it doesnt belong here,
  hapoa ni siasa na sio sehemu ya kumjadili mtu, anayetaka forum ya kujua watu majina asajili yake na awalazimishe watu wajisajili na majina yao halisi bila kusahau kuonyesha kitambulisho cha kupigia kura....... otherwise rujadili mambo ya masingi kwa manufaa ya taifa letu
   
 12. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,190
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Invisible, move this thread to "Entertainment Forum" au "Celebrities Forum" it doesnt belong here.......

  hapa ni siasa na sio sehemu ya kumjadili mtu, anayetaka forum ya kujua watu majina asajili yake na awalazimishe watu wajisajili na majina yao halisi bila kusahau kuonyesha kitambulisho cha kupigia kura....... otherwise rujadili mambo ya masingi kwa manufaa ya taifa letu.
   
 13. Shy

  Shy JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,238
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kuhusu wema wa mtu au ubaya hayatuhusu kama umeamua kumwandikia email au kupiga simu ni mambo yenu binafsi ya jf haihusiki katika mawasiliano hayo chochote kikitokea ni nyie mliowasiliana labda kama mliandikiana kutumia private za jf au forum nyingine ndio forum hizo zitahusika

  kigarama naomba tusimamisha mjadala huu tusaidiane katika kujenga sio kuharibu jamii --- mada yako inaonyesha kuharibu jamii
   
 14. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,190
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Tunashukuru Invisible kumbe upo kwa kuileta huku


  Kigarama sikujua kama kuna watu bado mnao utamaduni wa kujadili watu binafsi.......... by the way nani amekuaminisha umwamini mwanakijiji?
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jan 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Kigarama,

  This is very low hatuwezi jadili Mwanakijiji hapa vinginevyo kama wataka kumjua undani wake, basi muandikie PM, maana hii unataka weka udaku hapa. Wengi hufurahia michango yake....


   
 16. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #16
  Jan 18, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa Kigarama na wewe hili Kigarama sio jina lako hebu tuambie wewe ni nani haraka sana tunakutilia shaka wewe umepandikizwa ?
   
 17. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,904
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Great minds discuss issues not people, quite agree with ya Mpita Njia.
  Awe Mwanakijiji au Mwanakigoda sie hapa tujadili issues, akieleza ukweli na ulio sahihi tumpongeze akieleza upupu apate haki yake
   
 18. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #18
  Jan 18, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,389
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hili lako si geni. wapo waliojaribu na sijui wamefikia wapi hebu ona link hapo chini wapo waliojaribu kusema ni nani na tazama mjadala ulikoelekea.

  https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/20249-forum-na-website-ya-mwanakijiji.html


  sidhani ni vyema kuanza kutafutana nani ni nani. wanaotaka kujulikana wanakuja na majina yao halisi.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Jan 18, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,069
  Likes Received: 5,194
  Trophy Points: 280
  Nitakuwa hewani kama baada ya saa moja na nusu hivi: Kama una maswali kuhusu mimi piga simu: (567) 202-0011 watu watasikia maswali yako na majibu yangu kuhusu lolote utakalotaka kujua. Uwe tayari kujitambulisha wewe ni nani, uko wapi, na wasifu wako. Sina cha kuficha, kunianzishia mada ni kutafuta udaku wakati mwenyewe niko hapa na very accessible kuliko watu wengi humu. This is my only response. Nje ya hapo nitawaacha wengine wahoji dhamira yako hasa ni nini maana ulivyoiweka ni kama ile ya "mpe mbwa jina baya, ili umuue".
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Jan 18, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,254
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 0
  Seriously kuna watu wanahitaji kwenda vacation.Kazi kwako Kigarama piga simu jitambulishe upate majibu yako.....
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...