Dogo Young Lunya ni nani?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,121
27,128
Ni rapper mkali kwenye game. Ana jina kubwa. Anatoa kazi nzuri sana na ana mashabiki wengi sana hasa vijana wa miaka ya 2000s. But details zake hazijulikani.

Haijulikani majina yake halisi anaitwa nani. Ni Mwenyeji wa wapi? Anatokea hood gani? Elimu yake umri wake na kadhalika.

Wenye kumfahamu huyu dogo watiririke hapa
 
Anaitwa Rashid Lunyalile

Lunya ni kifupi cha surname.

Katokea mkubwa na wanawe, mkubwa fella ndio aligundua kipaji chake.

Ni dogo ana respect kwa kaka zake sana na hana maishu ya ajabu.
Ni mkali sana na namkubali sana

Details zingine hazihusu na sizijui
Nilianza kumfahamu kwenye kundi la producer Cjamoker
Dogo kapiga hatua sana kiuimbaji na hata tabia pia yupo vizuri
 
Mbona jina kubwa kuliko hata kazi zake,hivi ana hit hata moja kweli?
 
Back
Top Bottom