MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

anatema point tu
Dawa ya kupendwa na watu jaribu kila

unapokutana na mtu mpende kumsifia hata kama ni aduwi yako basi msifie kwa jinsi

alivyo basi yule aduwi wako atakuwa mzuri kwako. Bwana Yesu kristo ametufundisha

hivi Wapendeni maaduwi zenu na muwaombeeni mema usihukumu usije na wewe

kuhukumiwa.

Mathayo: 4: [SUP]4:17[/SUP] Tokea wakati huo Yesu alianza kuhubiri, na kusema, Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.

Mathayo, Chapter 5

[TD="align: left"] [SUP]5:1[/SUP] Naye alipowaona makutano, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia;

[SUP]5:2[/SUP] akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema,

[SUP]5:3[/SUP] Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

[SUP]5:4[/SUP] Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika.

[SUP]5:5[/SUP] Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi.

[SUP]5:6[/SUP] Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.

[SUP]5:7[/SUP] Heri wenye rehema; Maana hao watapata rehema.

[SUP]5:8[/SUP] Heri wenye moyo safi; Maana hao watamwona Mungu.

[SUP]5:9[/SUP] Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.

[SUP]5:10[/SUP] Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.

[SUP]5:11[/SUP] Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
[/TD]
 
well said babu hater gon hate but i will always show them love
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom