MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?











MY DEEP APPRECIATION TO ALL WAPENDA ''USHAHIDI WA PICHA''................NA WALE WOTE WALIOTOA COMMENT(REGARDLESS) HAPA

[h=3]Appreciation: Napenda sana uwepo wa Tyta dunian[/h]ALL I HAVE TO SAY IS.............
1130_323893484387639_1125766209_n.png

salute kwako Tyta
 
Last edited by a moderator:
Excel,mzizimkavu,heaven on earth,tyta,tembosa..mtambuzi,kiwatengu,miss neddy,uran,valentina,jipu,mr.rocky,yani mie karbie memba wote kasoro huyu holygrail cjui!
 
Nyani Ngabu ni mmoja ya watu nilipenda michango yake lakini toka nigundue anasapoti ushoga nimemtoa katika orodha yangu hiyo.
 
Back
Top Bottom