kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,059
- 694
hammy-D siyo mwenzenu siku hizi?
Hahahahah.......kwani wewe si mmoja kati yao? Dizain unawaruka kama Petro.
Last edited by a moderator:
hammy-D siyo mwenzenu siku hizi?
Honoured. Thanks Mkuu.
Thank you brother
Huu uzi una harufu ya ubaguzi.Si uzi wa kubaki nao hapa
Mzee Tupatupa wa Lumumba
najua hakuna wengine ambao ungeweza kuwatajaChris Lukosi, Ritz, Msalani, FaizaFox, Lizaboni, Simiyu Yetu, utaifakwanza, hugochaves, SR Magdalena, Sixgates, betlehem,
invisiblewana jf naomba tubainishe ni nani unakubali hoja zake humu jukwaani. Tuchangie bila kujali itikadi za kisiasa
Kutafuta umaarufu jf' sijui wakazi gani?
Honoured. Thanks Mkuu.
hapana jamaa ni mtazamo wake,na hiyo ya mwana jf anaekuboa naitarajia soon,japo nahisi nitatajwa sana!me sifungamaniMwishoni tutajikuta tumewataja wote humu jamvini, na mwingine ataleta uzi ni mwana jf yupi anakuboa kitu ambacho si sahii kabisa sababu hilo sio lengo la kuanzishwa jf, so cha msingi we are all one ila tunabadilishana mawazo. kipi unajua kipi skijui na vitu kama hivyo, kwenye majukwaa yote, na we under the same sun, so mtu unamkubali, hamkubali baki nalo moyoni! na ndo maana kuna PM, wana jf tusiingie kwenye si-hasa pls!
Haya yo welkam my dada; wewe huna anayekufurahisha???!!!
Sio suala la umaarufu ni kuona nini unaandika na vipi unagusa wanajamvi wenzako!!!!
Hutaki unaachana nao tu kiroho safi
ni wengi brother nikisema niwataje the list will be endless