MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

WanaJF naomba tubainishe ni nani unakubali hoja zake humu jukwaani. Tuchangie bila kujali itikadi za kisiasa.

yeyote anayeto mada inayogusa hisia za watu ila iwe na sense.......au anaye comment kwa kutoa ushauri mzuri mwenzake anapokua na tatizo rather than Criticism.....yule aliyepost mada NINA PHD NATAFUTA KAZI NLIMPENDA PIA...
 
mambo ya kujuana tu mkuu yametawala hapo wala usipate hasira! watu wametaja mademu zao,wanachama wenzao,maclassmates wao,madada zao,wafanyakazi wenzao,etc. so take it easy!
Furahia jina lako kama limeandikwa mbinguni pekee ya duniani yanapita kama upepo. Furahia siku zote ukipandishwa juu na Mungu, sifa za mwanadamu zina sababu akiamua muda wowote atakushusha chini.
 
Back
Top Bottom