MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

Heshima kwao sana hawa wakuu [MENTION=68993]moshe dayan, mossad007 nawe mkuu apakak na wengine wote ambao kwa njia moja ama nyingine "covertly" au "overtly" mko point ila ndio hivyo tena ethics zinabana kutupia humu!!!!!!

Salute to you all!!!!!

With Five Stars Honour of covert expartism & bravery from u all... Forever we Stand, never shall we fade..!!! Olesaidimu, apakak, moshe dayan.
 
Last edited by a moderator:
me ninaowakubali wameshatajwa na wengine tena mara nyingi so sioni sababu ya kurudia rudia.
 
Mode 'anabifu' na mimi, topic zangu anaziunganisha na zingine, nazikubali sana comment zangu. Subiri ubusy ukipungua ntakuwa napost topic mpya kila siku tuone sasa.
Na hii comment nimeikubali..NAJIKUBALI lakini hii hainifanyi nisiwakubali wengine wote wanao post au kucomment uGTing humu.
Be Blessed and Happy Valentine.
 
Nimechelewa kuuona huu uzi, Binafsi nawakubali wote ila hawa much respect...

1. Lizaboni
2. Ritz
3. Faiza Foxy
4. Msalani
5. Nkuu Sinde kwetu.
 
Aww,nicee...me nawapenda wengi sana yani,nkiianza mention hata sitamaliza,JF always makes my day,everything here is cool
 
Duh jamani mpk huku mwisho simo
Dah haiwezekani mi commwnt yote ile mnataka kusema ni pumba tupu, sawa tu...
 
With Five Stars Honour of covert expartism & bravery from u all... Forever we Stand, never shall we fade..!!! Olesaidimu, apakak, moshe dayan.

Even when chambers run dry and pins got non to hit on!!!!!
 
Back
Top Bottom