MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

avatar87556_1.gif
avatar21627_5.gif

Hivi wewe Kbosho tuna undugu nini, mbona sura zetu zinafanana?
 
Furahia jina lako kama limeandikwa mbinguni pekee ya duniani yanapita kama upepo. Furahia siku zote ukipandishwa juu na Mungu, sifa za mwanadamu zina sababu akiamua muda wowote atakushusha chini.

Duuuh....! wengine m'me mind hivyoo !????
 
Furahia jina lako kama limeandikwa mbinguni pekee ya duniani yanapita kama upepo. Furahia siku zote ukipandishwa juu na Mungu, sifa za mwanadamu zina sababu akiamua muda wowote atakushusha chini.

Duuh...! watu m'me mind hivyoo !
 
Baadae tusisahau kuwataja wale wanaokera na kutukwaza kwa michango yao hasi,yule ambae ukiona uzi wake unaupotezea hata bila kuhitaji kuusoma,kwa kujua kwamba hakuna cha maana utakachopata.
Watu kama mbeba maboksi wa ughaibuni.
 
  1. MziziMkavu
  2. Chief Mkwawa
  3. Mwl.CT
  4. Kiranga
  5. Nyaningabu
  6. Wale wote wanaochangia kwa nguvu ya hoja na sio hoja ya nguvu na hivo kupafanya JF nyumbani pa ma-GT
  7. Last but not least, hata wale wote wanaopinga kila hoja inayotolewa hapa JF nao wana umuhimu wao ili mwisho wa siku maisha hapa JF yawe na maana.Kwani ni ukweli kabisa kuwa binadamu wote hatulingani.
 
money stunna, bysange, makoye matale, amavubi, mzizimkavu, mamdenyi, mfamu, nitonye, utafiti, invisible, nyani ngabu, kennedy (kwa kunipa like nyingi)
 
Kwangu mimi kuna weengi sana na wakubali wametajwa hapo awali but Kaunga namkubali sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Excel salama kabisa mkuu. Mambo yako aise na pole nasikia kiwanda chako kimoja kimepata hasara ya dolari kadhaa aise
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Excel salama kabisa mkuu. Mambo yako aise na pole nasikia kiwanda chako kimoja kimepata hasara ya dolari kadhaa aise

mkuu mie sina hali bana.. nimekuwa off healthy kwa muda toka majuzi..!
 
Back
Top Bottom