MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

MwanaJF gani unapenda topics na comments zake?

Last edited by a moderator:
Heaven on earth,yeriko nyerere,mzizi mkavu,madam b,the boss na miss chagga
 
Longa mzee wa shamba

Na Mwandishi wa HabariTanzania.com
Shairilo nimesoma, tena nimeburudika,
Umenena kwa hekima , na wazi umetamka
nami ni bora nkasema, uwazi tunautaka
hata waimbe ngonjera, bado hatuwaelewi.

Umeme kitendawili, nani amewajibika,
wamezitapanya mali, wazila wanavyotaka,
majumba ya serikali, wametupa kama taka
Kikwete atupe jibu,tumechoka na ngonjera.

Madini walishagawa, hii ya Mkapa kazi,
kasi mpya itagawa, hili twaliona wazi,
hawa watu gawa gawa, hii ndiyo yao kazi,
Kikwete hata Lowassa, jamani tupeni jibu.

Wala rushwa wanatesa, wanadaka vidagaa,
nyangumi hawajanasa, wabaki kutahadaa,
mara nyingi tumeasa,twajua watuhadaa,
Kikwete tupeni jibu, ngonjera zimetosha.

Juzi wametuambia, kuwa kuna kazi nzito,
nguvuni kuwatia, wauza unga vizito,
mara wanatuambia,wameishavuka mto,
Wameikimbia nchi, nani wa kulaumiwa?

Naona mauza uza,urongo umeshamiri,
umma wameuchuuza, kwa kughani mashairi,
umma umejituliza,unangoja bila shari,
Kikwete twaomba jibu, matatizo yamezidi.

Juzi nilikueleza, kuwahusu wahalifu,
umma walouumiza, wakaufanya uchafu,
wenyewe wametuliza, hawana uadilifu,
wangapi umefukuza wale wakuu wilaya?

Wale walopiga watu, wakanyanyasa mchana,
hatuwasamehi katu, hata kama mwajuana,
kwetu hawa siyo watu, hawana hata maana,
wale Ma DC wako, Lowassa wangoja nini?

Tukutajie majina, utadhani huwajui,
waliyatenda bayana, mchana na asubuhi,
hebu fanya la maana, tushakupa maudhui,
Wale Ma DC wako, Lowassa wangoja nini?

Zirejeshe nyumba zetu, zile mlizogawana,
kwani hiyo pesa yetu, ndiyo tulichangishana,
zirejeshe nyumba zetu, hili ndilo la maana,
maneno yafuatie, tushachoka na maneno.


Fukuza wabadhilifu, ambao tunawajua,
wale wenye hitilafu, twajua mnawajua,
wale walocheza rafu, hakika mnajijua,
Hebu tufanyie kweli, tumechoka na ngonjera.

Watuzomea jirani, walonga twalamba buti,
japo tuna kisirani, hoja yao madhubuti,
umma uko msambweni, mnaujaza kaputi,
Kikwete imeshatosha, sasa anza chapa kazi.

Longa mzee wa shamba, huu ni wajibu wetu,
Atatulipa Muumba,anayo malipo yetu,
wananchi twaamba,nanyi msilale katu,
tusimame tuwabane, hawa wanotudanganya.

Source: http://www.habaritanzania.com/articles/1897/1/

Y:-(.......
 
Business & Entrepreneurship = Money Stunna, King'asti

Law = Wanasheria wasomi wa Tanzania

Religion = Kahtaan, Max Shimba, Pasco, Nyakageni, Fadhili Paulo, Schiendler

Health = Dr Riwa, Mzizi Mkavu

Language = Roulette, Kiranga

ICT/Technology = chief Mkwawa, stephano mtangoo, Young Master.

Counseling = AshaDii, Kauga, Mwanajamiione, Nyumba kubwa, Nyamayao, First lady, gfsonwin, Zion daughter, Lilly

Banyamulenge = Mukamasimba, Koba

Critical thinkers/Think tanks = Kiranga (wa Msata), NyaniNgabu, EMT, Geza Ulole, Sherrif arpaio, Kitila Mkumbo, Mohammed Said

CCM die hards piga ua wao ni magamba = Ritz, Simiyu yetu, Lizaboni, Rejao, Chris Lukosi, masopakyindi, faiza fox

CDM die hards = Nicholas, Yerico Nyerere, Ben Saanane, Candid Scope, Mohammed Mtoi, Mwita Maranya

Arsenal Die hards = Balantanda, Sizinga, Genekai, Katavi, ngwamapalala

ManU die hards = Ab Tichaz

Chelsea die hards = Ntuzu, Sanda Matuta, Mentor

Liverpool Die hards = Mbu

Soccer pundits = Gang Chomba, Maurinho

Kenyans who will always bash and hate Tanzania no matter what = Mpendwa1, Lawaim, Waltham, Kaborer, Dhuks, Mwathai

Ubebaji maboksi = Le Mutuz, Nyani Ngabu, BAK

Mkongwe wa JF = Mzee Mwanakijiji

Muke ya muzungu/Obama Hater = Natalia

Jf Divas = Lara1, Evelyn Salt, Karucee, heaven on earth, Chocs, badiebey,

Mapishi = Farkhina, AshaDii

Alwatans = Mwanakijiji, The Finest, The Boss, Safari ni safari, Kichuguu, Sikonge, Nguruvi, EMT, Kobelo, Joka kuu, Rev Kishoka, Deo Corleone, Dingswayo, Kongosho, Olesaidimu, Rose Marie


....................Mwenye kuongeza na aongeze................Samahani wote niliowasahau

Analyst-AL SHARPTON
 
Back
Top Bottom