'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

Mwanajeshi wa Lema huyu hapa na picha zake,kumbe hakuna kitu
 

Attachments

  • lema.jpg
    lema.jpg
    48.1 KB · Views: 10,883
Lakini amewakilisha na pia amedhihirisha kuwa system yetu ya usalama ni shallow sana.
 
sasa mmemfunga pingu kwa kosa gani? Kwani mtu akifanya kosa la kikazi si anatakiwa afukuzwe kazi sasa pingu ya nini? Mbona ndege ya kijeshi iliingia kwenye anga yenu na kupakia twiga na ikaondoka hamkuwakamata na kuwafunga pingu. Acheni siasa nyie jwtz.
 
Mwanajeshi wa Lema huyu hapa na picha zake,kumbe hakuna kitu

na wewe acha ujinga wako unaposema kumbe hakuna kitu unamaanisha nini! Ulitaka awe na nini au wewe una nini kama sio kibaraka tu unajiita mwnajeshi mwanajeshi bongo?
 
Ha ha ha!
Bwana mudogo ariri beepu geshi!
Sasa wanamupeleka rupango na atachezea mvua!

Washauri wake wamatafute Lema na dogo janja apige naye picha kabla hajatokomea gerezani!
Na bado tunamsubiri Mnyika atoe tamko rasmi!
 
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.

Maswali ya kujiuliza:
Inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi?
Je, Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi?


attachment.php

Huyu ndo mwenyewe kweli, sasa watamfanyaje?
 
Nadhani chadema hawatasubutu tena kuvamia kituo cha Polisi ili kumuokoa huyu mwanajeshi hewa kama walivyojaribu Arusha Police Station na kusababisha mikong,oto na Arusha kukimbiwa na Watalii!
 
Back
Top Bottom