Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,537
umeipenda eee?Soma signature yako
umeipenda eee?Soma signature yako
.Lazima atakuwa ni mwanajeshi,ila kwa vile usanii unaongoza hapa nchini lazima mambo yapindishwe
Haya na wewe umeandika!.
Ndio taathira za kufutwa kwa JKT. huyo jamaa kwa waliopitia hata mgambo waliweza kubaini kuwa hakuwa mwanajeshi. hizo combat zilikuwa hazimwenei alikuwa anaonekana kana kwamba amevaa za baba yake! Cheap publicity!
Lak1n1 kama yeye kavaa za jwtz p!a makosa anayo sababu s!o sawa kwa ra!ya kuvaa za jwtz bora akamatwe kwanza aul!zwe !l! Tujue ukwel! Na anafany!a n!n! !zo za jwtz
Katiwa mboroni??
ukimaliza mafunzo ya jeshi magwanda siunaondoka nayo
Somo kwenye title neno la mwisho.
Mwacheni sasa akagonge magwanda ya orange
![]()
.
Ndio taathira za kufutwa kwa JKT. huyo jamaa kwa waliopitia hata mgambo waliweza kubaini kuwa hakuwa mwanajeshi. hizo combat zilikuwa hazimwenei alikuwa anaonekana kana kwamba amevaa za baba yake! Cheap publicity!
Nadhani chadema hawatasubutu tena kuvamia kituo cha Polisi ili kumuokoa huyu mwanajeshi hewa kama walivyojaribu Arusha Police Station na kusababisha mikong,oto na Arusha kukimbiwa na Watalii!
kwa nani??
CDM inafuga majambazi wanaovalia sare za JWTZ.
Hii inaeleza historia zisizoeleweka za kina Lema na Nassari kabla ya ubunge!Huyo kijana aminywe vitu nyeti abaeleze yote.
Hii picha ya kukamatwa huyu jambazi imekuwapo muda sasa na si Mnyika wala CDM wametoa tamko la tukio hili.