'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

Sasa wanamkamata kwa kipi? Yani wakina loasa na majizi mengine hawayakamati wanakuja kuhangaika na watu walio choka, kweli hiindiyo tanzania.meli inazama tv inapiga taarabu!!
 
Mwanajeshi aliyepiga picha na Lema Mboroni du @ mleta uzi hebu tufafanulie nami nielewe jinsi lema alivyopiga picha na mwanajeshi mboroni
 
Yule ni mgambo koko na kamanda wa ulinzi shirikishi!si mwanajeshi!wanajeshi wanajua maadili yao na wanajua nini utapata ukiropoka na kushabikia siasa!
 
Hivi huyo mtu ana akili timamu kweli? Nahisi kama vile he's not all there.
 
Inachekesha CCM kwa usanii yaani awa jamaa ni waongo kuliko shetani,hiyo ni kitu kizito chenye ncha kali
 
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha monduli emetiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa melerani wanamtambua kama mwanajeshi. Maswali ya kujiuliza inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi? Je Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi???
( u ) mgambo mnasema mwanajeshi ccm bhana mmekosa kazi ya kufanya(/u) do h:
 
Hahah,Mtoa habari ulikuwa na HARAKA ya Kwenda wapi??? Hadi utuandikie Mboroni badala ya Mbaroni??? Well,kijana mwenyewe hata kwa muonekano tu alionekana sii Askari,mkao wake,MAVAZI yake,na hata tu namna alivyopozi kupiga picha zenyewe,ni basi tu NCHI imegeuzwa genge la WASEMA CHOCHOTE tukajikuta hata Nukuu za MANENO yake Huko merelani zikibeba vichwa vya habari katika magazeti,no wonder hata hapa watu hawataamini Kama kweli sii Askari Bali wataona ni usanii,hoja ya kwamba ALIKUWA wapi na hizo uniform asikamatwe,huenda sii mvaaji wa hizo uniform AWAPO mtaani kwake,maana kiuhalisia UNOKO wa Askari jeshi katika MAVAZI Yao unajulikana Naamini angekuwa keshakamatwa,ni AMA AMEKUWA akizivaa kwa Matukio Maalum anayoyajua yeye,au hata kujikuta MAVAZI hayo yakitumika kuhadaa watu na kuwatapeli au kufanya vitendo vibaya,Bado Kama wananchi,tunaowajibu wa kushirikiana katika kuwaibua watu wa namna hii,Kama tu kweli MAVAZI Haya AMEKUWA akiyavaa kimakosa.NA HIYO SIKU NDO AROBAINI YAKE ILIKUWA IMEFIKA.
 
Huyu mwanajeshi wa Lema dawa yake ni kumpa mateso ya kijeshi.
 
Ndio maana niliwaambia kuwa swala la kumpata dogo ni rahisi sana. Sasa amepatikana, ngoja atoe majibu ya malengo yake then hatua muafaka zifuate.

Wewe ingia kichwa kichwa tu.
kama kweli kakamatwa yupo kituo gani cha polisi???
Haya ndo yaleyale ya Mkenya-Chizi wa ulimboka.
Hata kama ni mjeshi mtamkana tu kwa sababu zenu.

 
Lema na Nassari wamedhihirisha kuwa ni mambumbu wa sheria kwenda kupiga picha na muhuni kavaa sare za jeshi.

Halafu hawa wabunge ndiyo wanategemewa kwenda bungeni kutunga sheria.

Wabunge kama hawa wakiachiwa wakawa wengi bunge lazima watapitisha sheria kuruhusu bangi na unga watu watumie.
 
Back
Top Bottom