'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha monduli emetiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa melerani wanamtambua kama mwanajeshi. Maswali ya kujiuliza inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi? Je Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi???
Wiki nzima magazeti yamepata cha kuandika kuanzia ya shigongo mpaka ya mzalendo.poor tz
 
Kinachonipa faraja ni kuona kuwa Tanzania tuna wna usalama ambao wakiamua kufanya kazi mambo yanafanyika. Tatizo ni pale mambo mengi yanapo siasishwa na utendaji ukavia.
Wanausalama tumieni taaluma yenu kutokomeza uhalifu mwingine pia.
 
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha monduli emetiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa melerani wanamtambua kama mwanajeshi. Maswali ya kujiuliza inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi? Je Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi???

Hongera fyombo fya dola.

Mwanajeshi fake alikumbatiwa na mwanasiasa fake!
 
Naomba kuuliza mbona nchi za wenzetu mfano Itali spain Urusi raia wao wanasafiri wakiwa wamezivaa nguo zinazo fanana na sare za jeshi lao iweje huku kwetu imekuwa ni makosa kuvaa au kubeba kitu chenye rangi ya kjeshi?
kila nchi ina sheria zake kutegemeana mazingira yake mfano huku ukiachia hali hiyo watu watumia caver kufanyia ujambazi utapeli kama huyu aliewatapeli wabunge wetu kwakujifanya askari wakati hali halisi askari alie kazini hata aliestaafu hawezi fanya hivi.
 
Only in Tanzania. Huyo 'mwanajeshi' fast tu amekamatwa, lakini wezi wa EPA, wenye ela nje na mafisadi wa hapa mjini (mfano Jeetu Patel, baba yake wa kambo Nape), inakuwa ngumu kuwakamata au kuwachukulia hatua. Wanyarwanda waliojaa hapa town for special mission hawakamatwi, kweli hii ndo bongo...
's wastage

Halafu naona it's wastage of resources and diveregence of public attention from crucial cum sensitive issues. If someone declares oneself a soldier does it mean false pretence of being a TPDF militia? If combats/uniforms are TPDF's then what next. And what has the lad jeopardised so far. Is it because he appeared at Lema's rally? Our defence and security forces have got to go back to barricks rather indulging themselves into politics
 
Wanajeshi wa monduli waliondoka nae wameenda nae jeshini! Sasa kama siyo mwanajeshi wamempeka jeshini wa nini alipaswa apelekwe police akafunguliwa jalada apelekwe mahakamani!
ye si alisema mwanajeshi lazima ahojiwe yuko kambi gani hapa Tz na kama si mwanajeshi sare alizipataje na kwanii alifanya vile kule jeshini kila fani ipo atashugilikiwa ondoa hofu.
 
If that is true, This is Shame on TPDF again....

Hakuna mwanajeshi anayefahamu maadili ya kazi yake angeweza kufanya alichokifanya huyu jamaa. Kuna kila sababu kuamini kuwa alikuwa raia ambaye anamiliki mavazi ya jeshi. Hata hivyo hii haina maana kuwa jeshi la usalama lilikuwa halijui kuwa huyo siyo askari na anavaa nguo hizo kimakosa lakini kwa sababu za kujuana wamekuwa wakimuacha hivyo.
 
Wanajeshi wa monduli waliondoka nae wameenda nae jeshini! Sasa kama siyo mwanajeshi wamempeka jeshini wa nini alipaswa apelekwe police akafunguliwa jalada apelekwe mahakamani!
ndio awe mwanajeshi au asiwe lazima apelekwe kwanza jeshini akajieleze kama raia itajulikana kama mwanajeshi atashuhurikia kwa mujibu wa taratibu zao wale jamaa wanamekamilika kila idara mfano: polisi, mahama, madaktal,usalama kila fani baba mi nina imani atashugulikiwa tu ondoa hofu.
 
Chama makini hakiwezi kupiga picha na wakora wanao vaa nguo za jesho kutisha raia halafu kikajitetea eti yule ni mwanajeshi na jeshi linawaonea--fuatilia kauli za mnyika. Hahaha ni aibu sana kwa chadema inabidi iwe inafanya sorting ya nini cha kufanya hasa katika siasa hizi za ushindanni. Utoto umezidi upunguzwe. Yaelekea huyu mpiga picha alipangwa na alikodishwa kufanya hiyo kazi ya kughiribu watanzania eti jwtz inamuunga mkono lema. Kweli hata vikosi vya jeshi chadema haivifaamu amakweli kazi ipo
 
Hii ndio Tanzania bana, tunakuwa busy na vitu vya kijinga na kitoto. Hapo ni sawa na kuua KUKU kwa SMG wakati hata kwa fimbo tu unaweza kumuua. Kwa nini hizi juhudi zisingetumika kumtafuta aliyemteka na kumtesa Dr Ulimboka, au vinaka wanaotusumbua mitaani daily?? Sidhani kama kupiga picha na Lema is an issue of public interest, ni suala dogo tu hilo la mvunjifu wa sheria mmoja ambaye uvunjifu wake wa sheria haujaathiri chochote jeshi letu. Kikubwa hapo ni jeshi kujipendekeza kwa CCM ionekane wameidhibiti Chadema
 
Chama makini hakiwezi kupiga picha na wakora wanao vaa nguo za jesho kutisha raia halafu kikajitetea eti yule ni mwanajeshi na jeshi linawaonea--fuatilia kauli za mnyika. Hahaha ni aibu sana kwa chadema inabidi iwe inafanya sorting ya nini cha kufanya hasa katika siasa hizi za ushindanni. Utoto umezidi upunguzwe. Yaelekea huyu mpiga picha alipangwa na alikodishwa kufanya hiyo kazi ya kughiribu watanzania eti jwtz inamuunga mkono lema. Kweli hata vikosi vya jeshi chadema haivifaamu amakweli kazi ipo

wewe lazima utakuwa ni jakaya
 
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha monduli emetiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa melerani wanamtambua kama mwanajeshi. Maswali ya kujiuliza inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi? Je Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi???

- Kama ni kweli amekamatwa ni good news cause tunaishi kwa katiba na sheria, mlisema Zitto kama anataka kugombea urais afuate katiba ya chama chake sasa kwa nini mnaona huyu Mwanajeshi asifuate katiba ya jeshi inasema nini?

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom