nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,860
- 5,803
Mahaba yamekuzidi eee....usikurupuke huyo sio Mjeshi ni Mjeshi wa Lema Jeshi halimtambui ndio maana limemkamata aeleze yuko kambi gani
Sasa YULE aliyeshikwa NDANI ya CCM-NEC yeye ni wa NANI???
Mahaba yamekuzidi eee....usikurupuke huyo sio Mjeshi ni Mjeshi wa Lema Jeshi halimtambui ndio maana limemkamata aeleze yuko kambi gani
Kwa hiyo mantiki yako inasema jambazi likijitokeza na kupiga picha n waheshimiwa wa CDM its fair game?
Need I say more? However, one thing is clear, if you can brand the above ebullition of trash as meaningful contribution to an argument...then me and you? we are definitely worlds apart. I rest my case.Mkuu Mag3 Sasa mtu mwenye akili kama wewe kumsapoti mtu mweye uwezo wa kumchukua mke wako, ukamshangilia na kukenua kama huna akili nzuri, wa hovyo hapo nani?
Last but not least differentiate yourself from the sans culotes, ​the braying masses , ili uwe na any meaningful contribution to an agument.
unahitajika umakini katika ukaguzi wa taasisi zetu za kijeshi, kwani inashangaza sana kwa askari huyo kuvaa gwanda kwa muda wa miaka mingi na taasisi husika isitambue, je, taasisi hizi hazina registrational documents ambazo hutumika kukagua aliopo na asiye kuwepo? please we need your attention in your authority and responsibility!!!!!
unapobanwa na kuishiwa hoja , kaa chini na ufikiri kwa kina usijekosea tena, kukimbia hakusaidii sana.
Need I say more? However, one thing is clear, if you can brand the above ebullition of trash as meaningful contribution to an argument...then me and you? we are definitely worlds apart. I rest my case.
jibu ni kudhuriwa iwe na mwenye akili timamu au mwehu ,umakini ni jambo la kwanza kwa mtu yeyote mwenye wafuasi wazuri au wabaya. joseph kony yuko makini, joseph kabila yuko makini, M23 wako makini, kauwawa wazir mkuu wa Israel kwa kukosa umakini, kauwawa rais kennedy wa MAREKANI kwa kukosa umakini hata kupiga picha na mwanajeshi fake na kutolea mfano kuwa si yy tu ,wako wengi ni kukosa umakini .Akimchoma kisu Lema atakuwa ametumwa au ni kichaa, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumchoma kisu mpigania haki za Wanyonge!
hiyo Single yako na Babu Padri imechuja sasa tafuta nyingine....
Karibu noah losti mkuu tujipongeze
Sikilizia litakapokuja ishia hili sakata"hutoamini macho yako"
Precisely mkuu,bora tuchukulie hivyo vinginevyo itakuwa kituko cha mwaka!Mh.. hiyo kali, lakini nadhani ni spelling mistake!
Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari ila aliwahi kuwa JKT na akaacha, ila amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.
Maswali ya kujiuliza:
Inakuwaje raia anavaa nguo za jeshi kwa miaka mingi bila kuchukuliwa hatua, hayo mavazi kayapata wapi?
Je, Lema asingepiga picha naye angejulikanaje kuwa ni raia anavaa nguo za jeshi na kujitambulisha kama mwanajeshi?
![]()