Ndio sheria hiyo ya kwamba ukitukana upigwe?Anatukana kila mtu kama mwehu huko X. Alichopata kinamstahili ili ajifunze kukosoa au kipingana na watu kwa adabu.
Matala ni mjanja mjanja kule Twitter Alishawahi Kupata kashfa kumtapeli mtu pesa ya ununuzi wa gari Yeye akiwa kama dalali ,
Msiwe mnaamini Kila kitu kilichopo mitandaoni,
Halafu kule Twitter Kuna baadhi ya watu wa Arabia ya kucreate matatizo ili waweze kuchangiwa pesa
Japo kuwa sikatai kwamba Kuna watu wapo ambao huwa na matatizo kweli,
Narudia tena kuweni majini matala ni mjanja mjanja sana ana kesi nyingi za upigaji kule Twitter, anatumia sympathy ya jamii kujinufaisha sometimes
Ukimshauri aachane na matusi, ana ku-blockJapo serikali ilimfanyia vibaya pale mwanzo lakini alikosa kabisa busara. Kauli zake zilikuwa za kutukana serikali, polisi na kila mtu anayempinga na kumshauri. Kwa serikali zetu hizi hilo ni hatari, alitakiwa kuwa na busara
Ni mwanqharakati wa Twitter. Mwaka 2022 alifungwa jela kuchapisha uwongo na kisha wana Twitter wakamchangia akatoka jela. Alipotoka amekuwa mtu wa matusi kwa Polisi, viongozi wa Serikali nk. Mrengo wake wa kisiasa ni CHADEMA ndiyo anaishbikia sana sera zake kama SATIVANdio nani kwanza huyo Matala wenu?
Atajua mwenyewe na wanaomtuma.Ni mwanqharakati wa Twitter. Mwaka 2022 alifungwq jela kuchapisha uwongo na kisha wana Twitter wakamchangia akatoka jela. Alipotoka amekuwa mtu wa matusi kwa Polisi, viongozi wa Serikali nk. Mrengo wake wa kisiasa ni CHADEMA ndiyo anaishbikia sana sera zake kama SATIVA
Afie zake mbali huko, mtu badala ya kuishi maisha yako, anakuwa bize kupambana na mamlaka, wangemf......r..a.. kabisa pumbavu!View attachment 3373931View attachment 3373932 Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
Mbona anashambulia na kutukana kwenye ID zake nyingine fake?kuhusu busara kwenye ukosoaji hata humu kajitabia kapo. nyakati nyingine wenye mioyo miepesi ndio huchukua sheria mkononi. humu ndani pamoja na purukushani zote za kiitikadi sijawahi kumuona #Lucas mwashamba, akimshambulia mtu kwa dhihaka. hongera kwako lucas kwa kuhandle hili, maana unajua ukikengeuka utapelekwa nyuma ya nondo.
Chawa pro max ukishashiba kande za bureAtajua mwenyewe na wanaomtuma.
Kama kuna makosa kafanya nadhani adhabu yake sio hiyo bali ni sheria kuchukua mkondo wake
Dola haipambani naye, sasa yeye kwanini anapambana nayo!!??Ni vigumu mno kupambana na Dola bila kupata misukosuko
Kuna ile mada imeliwa kichwaHawa wazee wanaopeleka lundo la vijana wajiunge na JKT hawa 😂😂😂😂
Hiyo akaunti yake aliyoiweka ni kwa ajili ya kumuingizia matusi? Wewe unaviashiria vya kipolisi, lori lipinduka likitoka kwenye chanjo, rais; lori lilipinduka wakienda kwenye mkutano wetu.Hii siyo post ya kuomba pesa bali ni post ya tukio lililompata mwanaharakati wa matusi. Kuna cha kujifunza kwa wengine
Mimi ni baba yako mzazi.Kwa hiyo wewe ni Mama Samia?
Atajua mwenyeweDola haipambani naye, sasa yeye kwanini anapambana nayo!!??
Hujakatazwa kumchangia maana ni hela zako na hiari yako. Ila anabakia ni mwanaharakati "poyoyo:Wewe poyoyo tu ..waungwana washamchangia na kiasi kilichosalia ni Tzs. 563,050
View attachment 3374743
Ha ha ha ha ha anatamani tena!!Alikwsha firww ndiyo maana kachafukwa sana