Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

Anasema ameumizwa na hajitambui mbona anaweza kuandika huko mtandaoni?
Labda amegundua kuwa akiitisha followers wake kuwa kaumizwa watamchangia kama walivyomchangia alivyotoka jela
 
kuhusu busara kwenye ukosoaji hata humu kajitabia kapo. nyakati nyingine wenye mioyo miepesi ndio huchukua sheria mkononi. humu ndani pamoja na purukushani zote za kiitikadi sijawahi kumuona #Lucas mwashamba, akimshambulia mtu kwa dhihaka. hongera kwako lucas kwa kuhandle hili, maana unajua ukikengeuka utapelekwa nyuma ya nondo.
 
Mleta mada ni m#the#r FVCK3R mmoja usiyejielewa na limbukeni.
Hata km mtu kaandika taarifa za uongo, anastahili kufanyiwa haya?, km nchi tunatakiwa kufikia hatua hii?🖕🖕🖕
 
Watu ambao hawajifunzi kwa wenzao sijui watajifunza wapi tena

Mambo yakutaka kuonekana shujaa mbele ya dola yatawaponza sana
Tulimwambia kausha tu, huwezi kupambana nao ukiwa alone wewe unajifanya Rambo tu. Si ajabu wamemfira ila hawezi kusema tu.
Ahague vita zake vizuri na azipigane vyema, asizozimudu aachane nazo.

Tunamshauri hasikii ..kama hata Gwajima hawawezi then who are you? 🙄
 
Wewe ni mtu usiyejulikana?

Unamaanisha nini unaposema kama alivyokuwa Mdude Nyagali?

Mdude Nyagali mpaka leo hajulikani kama yupo au hayupo, na wewe umekuja na andiko lente kiashiria cha wewe unajua Mdude alipo, imma mmemuuwa na ama mmemficha

Wewe unahitaji kufwatiliwa kwa ukaribu
Wote wawili ni HAMNAZO. Huwezi kufanya harakati za matusi dhidi yavSerikali huku ukiwa UNMASKED
 
MODS MLIKATAZA POST ZA KUOMBA MISAADA HATA KAMA ZINA USHAHIDI, SASA MBONA HII IPO HAPA?
Hii siyo post ya kuomba pesa bali ni post ya tukio lililompata mwanaharakati wa matusi. Kuna cha kujifunza kwa wengine
 
Daah mtu hauna hata siraha yeyote na wao wanajua kabisa kuwa hauna siraha ila upo busy mtandaoni kuwatukana hii ni hatari sana kwa afya yako aisee..
 
Mleta mada ni m#the#r FVCK3R mmoja usiyejielewa na limbukeni.
Hata km mtu kaandika taarifa za uongo, anastahili kufanyiwa haya?, km nchi tunatakiwa kufikia hatua hii?🖕🖕🖕
Huna uwezo wa kuandika kitu kingine zaidi ya matusi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom