Hilo bwege lifungwe maisha, ni aibu kijana mdg hvyo hataki kufanya kazi.View attachment 3373931View attachment 3373932 Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
Ni mbaya sana zaidi zaidi utauawa tu na kutupwa huko...Kweli mkuu. Hata Deusdedith Soka alikuwa hivyo hivyo
Na we ni mpumbavu wa siku zote, huyo ni tapeli unashindwa kuelewa niniKama kuna makosa kafanya nadhani adhabu yake sio hiyo bali ni sheria kuchukua mkondo wake
Si ni tapeli hiloAnasema ameumizwa na hajitambui mbona anaweza kuandika huko mtandaoni?
Kwa hiyo akifungwa maisha wewe ndio roho yako itafurahi inakuaje binadamu unakua na roho ya namna hii aisee mimi huwa nashindwa kuwaelewa ila najua mlikotokea..Hilo bwege lifungwe maisha, ni aibu kijana mdg hvyo hataki kufanya kazi.
Aaaah, kumbe ni huihui? Ndio ujue members wa JF.Nitalia kila siku Kwa kuwaombea hawa wadogo zetu wawe na hekima sasa mtu kama huyu na hizo yeboyebo anapata wapi ujasiri wa kutukana watu ikiwa milioni tu Hana
Ili ajifunze huyo mbwa,Kwa hiyo akifungwa maisha wewe ndio roho yako itafurahi inakuaje binadamu unakua na roho ya namna hii aisee mimi huwa nashindwa kuwaelewa ila najua mlikotokea..
Sawa sema usitukane mkuu shida nini unajua watu wengi wanaweza kutukana ila hawafanyi hivyo hata iweje kutukana hovyo hovyo bila sababu ni moja ya tatizo kubwa kuliko unalosema jamaa ajifunze..Ili ajifunze huyo mbwa,
Mkuu alisema hawezi kula, kuongea, wala kunywa lakini sio KUCHATAnasema ameumizwa na hajitambui mbona anaweza kuandika huko mtandaoni?
Ndo apigwee na Huna akili Ina ulipewa madaraka utaua watu wengi Kwa hizoNitalia kila siku Kwa kuwaombea hawa wadogo zetu wawe na hekima sasa mtu kama huyu na hizo yeboyebo anapata wapi ujasiri wa kutukana watu ikiwa milioni tu Hana
Afuatiliwe na nani mzeeWewe ni mtu usiyejulikana?
Unamaanisha nini unaposema kama alivyokuwa Mdude Nyagali?
Mdude Nyagali mpaka leo hajulikani kama yupo au hayupo, na wewe umekuja na andiko lente kiashiria cha wewe unajua Mdude alipo, imma mmemuuwa na ama mmemficha
Wewe unahitaji kufwatiliwa kwa ukaribu
Kwa hiyo mlitaka kumuua kama mlivyomuua Mdude Nyagali ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika yetu.View attachment 3373931View attachment 3373932 Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
Mkuu kutumia ID tofauti itakusaidia tu kuvuta muda kabla ya kukamatwa ila haikupi uhakika wa kutokamatwa.Aondokane tu na UANAHARAKATI UCHWARA. Kama anataka matusi asitumie ID yake, tafuta jina jingine kama Mshana Jr litumie. Hata profile weka hata picha ya pimbi