Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

Watu wana support mtu kupigwa au kuuawa kwa sababu katukana au kakosoa watawala, kubalini tuu bongo bado mnaishi Stone Age
 
Dalali wa magari anakosa milioni mbili anyway kuna namna lazima ujipime uwezo wako ukiamua kuingia vitani.

Pole kwake.
 
Huyu jamaa ametapeli watu wengi nikiwemo mimi hio adhabu wangenishirikisha mimi ningemvunja mguu kabisa. Anatumia mitandao kuibia watu halafu anawakejeli na kuwatukana
 
Anatukana kila mtu kama mwehu huko X. Alichopata kinamstahili ili ajifunze kukosoa au kipingana na watu kwa adabu.
Hukumu ya matusi kwa sheria za CCM ni kipigo na kufira watu, sivyo? Kwanini asipelekwe Mahakamani?
 
Nitajie nchi ambayo unatukana kiongozi una unaachwa tu
Zipo nyingi sana and all of Western Europe, North America hawana huo upumbavu, hata jirani zako South Africa,Botswana walishaachana na huo ubwege, ni nyie tuu na maskini wenzako msio na akili kama Burundi na Congo etc
 
Huyu si alichangiwa ili atoke jela, duuh aiseee,naona bado wanamtafuta........ anyway pale X anatumia lugha isiyo sawa kutoa maoni yake, nadhani tunaweza kukosoa kwa lugha nzuri tu
 
Huyu si alichangiwa ili atoke jela, duuh aiseee,naona bado wanamtafuta........ anyway pale X anatumia lugha isiyo sawa kutoa maoni yake, nadhani tunaweza kukosoa kwa lugha nzuri tu
Pale X nafikiri unaweza block mtu, sio kumpiga karibu kumuua na kumfunga, matusi sio jinai
 
Pale X nafikiri unaweza block mtu, sio kumpiga karibu kumuua na kumfunga, matusi sio jinai
Ni sahihi, lakini kwa nchi hizi zetu ambazo bado kuna watu wameshika mpini na wengi makali lazima uwe makini kuepuka kuacha wajane na watoto bila msaada,hata Samia anablock,so lazima unachofanya ujue na end product yake
 
Anayethubutu kujiita mwanaharakati ndani ya bara giza hajitambui na kamwe hastahili huruma. Futility at best.
 
Anayethubutu kujiita mwanaharakati ndani ya bara giza hajitambui na kamwe hastahili huruma. Futility at best.
ukiamua kupambana na dola jua na jinsi ya kujikinga sio utupe tena sisi kazi ya kukulinda, henche anabodigadi anapiga ngumi balaa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom