Ukurasa wa sita kuna mwandishi....... Fred Okoth na hata kabla ya hapo kuna maelezo (Uk 3 para 5) yanasema hivi ...... nanukuu... WAZIRI HUYU WA AFRIKA MASHARIKI ANAJUWA FIKA KWAMBA GAZETI LA MWANAHALISI, WAMILIKI WAKE, WAANDISHI WAKE HAWANA MKATABA NAYE WA KUMWANDIKA ANAYOTAKA. SISI TUKO KAZINI. TUNAANGALIA WALE TUNAOWATUMIKIA; NAO NI UMMA WA TANZANIA NA JAMII PANA. SIYO SAMWEL SITTA WA URAMBO, KIBARUA KATIKA SERIKALI YA RAIS JAKAYA KIKWETE.... mwisho wa kunukuu. Hivi great THINKER anashindwa kujuwa kuwa kabla ya hapo kwenye BOLD kuna waandishi wametajwa nao ni JOPO zima la mwanahalisi..??? Tuache ushabiki usio na maana..... TUWE WAKWELI.... KAMA HUELEWI KITU NI BORA UKAULIZA KULIKO KUBWABWAJA......Asante wakuu!
Nimewasoma vizuri.
Magazeti ambayo sinunui kwa pesa yangu yanaongezeka kwa kasi-kutokana na kukosa viwango.
Nilipokuwa mwanafunzi pale Mlimani nilikuwa Punch mzuri tu.
Unabandiko andiko lako na kusepa, bila kujua athari zake baadaye-uhuru wa woga.
Leo Mwanahalisi ukurasa wa mbele habari ya Sita haina mwandishi, hata ile ya ndani-uandishi wa woga huo.
Wakuu magreat thinker kama mnaona hilo ni sawa basi hata Ugreat thinker wenu unashuka viwango kwa kasi.
Mhnn........ haya........... Ondoa basi thread yako....... AU IKANENimekuelewa mkuu wangu!
Leo nimebwabwaja kweli kweli.
kaka majoja lilete nikuruudfishie jero yako.
Naona uhuru litakufaa kwa sasa.
nmeona nakala ya leo, ila sijaona chochote cha kumfanya mtoa post atokwe na povu. labda ile habari ya kubenea na uongo wa sitta!
Hakuna kilichopo duniani kinachopendwa na kila mtu.......Hivyo sikushangai....... Hakuna jipya hapo.....ANYWAY UNGEWEKA HIZO HABARI UNAZOZIITA ZA KINAFIKI............ MwanaHalisi litabaki kuwa gazeti bora kwa wasema kweli wa TZ......... NYIE WENGINE BAKINI MKISOMA HAYO MAGAZETI YA ...... ndiyo mzee.........
Gazeti hili liliokuwa linasifika sana kwa kutoa "sure" za mambo yanayoendelea kisiasa nchini limeshakuwa a town rag.
Wakuu msijisumbue kununua uozo wa gazeti hili ambalo tayari habari zake zimekwisha lipiwa kwa muda mrefu ujao.
Mwanahalisi na Dira kwa sasa ngoma droo.
Nasikitika kutoa shilingi mia tano yangu wiki hii na kukuta habari ambazo hazijulikani aliye andika na habari zenyewe ni za unafiki.
Kweli tindikali na fwedha vimefanya kazi yake.