MwanaHalisi: Nini Kinaendelea

Hivi bado tunajadili issue hii?
Huyu jamaa si ameishakiri kuwa amekurupuka kuandika post hii?
Hapa tunamwomba kitu kimoja tu, aondoe hii kitu hapa.
 
Gazeti hili liliokuwa linasifika sana kwa kutoa "sure" za mambo yanayoendelea kisiasa nchini limeshakuwa a town rag.
Wakuu msijisumbue kununua uozo wa gazeti hili ambalo tayari habari zake zimekwisha lipiwa kwa muda mrefu ujao.
Mwanahalisi na Dira kwa sasa ngoma droo.
Nasikitika kutoa shilingi mia tano yangu wiki hii na kukuta habari ambazo hazijulikani aliye andika na habari zenyewe ni za unafiki.
Kweli tindikali na fwedha vimefanya kazi yake.
Haya ni majungu, si lazima uandike bora kukaa kimya kama mie
 
La salale!
Hii sredi imevua samaki wengi sana, hata wale kambale wa sharubu wenye kujificha kwenye tope.
 
Hivi bado tunajadili issue hii?
Huyu jamaa si ameishakiri kuwa amekurupuka kuandika post hii?
Hapa tunamwomba kitu kimoja tu, aondoe hii kitu hapa.
Are you sure?
Kweli great thinking seams to be an art that has not been mastered by novices.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom