Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,623
- 10,391
Naona Kubenea katupa za ndani kabisa.
Kwahiyo mwamba kagoma kutia Saini barua ya kujiuzulu?.
Watu waliokaribu na Samia watakuwa wanampa wakat mgumu sana jamaa.
Kuna uzi nilisema yale ya 2015. Yatatokea 2030. Tuyape muda