Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Mkuu we unafikiri ni kwa nini wanafunzi wako wameamua kukufananisha na mwanamke? Jichunguze utaoata jibu. Halafu jirekebishe
 
Mi nakushauri acha kupaka poda,lipstick, wanja, na uache kulambalamba midomo.
Pia kama una umbo kama la yule jamaa wa Kolomije usivae zile "Sarawili" za kubana.
 
Kuna wanaume wanakuwaga na mashauzi kama wadada.

Guess mmoja wao, tena nyie wa english kunani hizi. Siwaamini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…