Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Basi tazama maumbile yako ndo 7bu. Huenda una maumbile ya kike na nundu huenda ipo.
 
Hongera mkuu watoto Wana mambo ya ajabu.Ndio umri wao wa udadisi.Inaonekana we ni mpole kiaina
Asante pia huwa Na huruma,kwa kuwa nililelewa Na mama wa kambo, baada ya mama yangu kurudi kwao Rwanda.huyu mama wa kambo alikuwa ananitesa sana,kwa hivyo huwa sipendi nione mtoto anateseka au kuumia.
 
Wakuu wenzangu poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu.

Naomba nijitambulishe, mimi ni mwalimu wa shule za English medium, yaani shule za mchepuo wa lugha ya kiingereza.

Huwa nafundisha madarasa ya mtihani, wale darasa la saba na darasa la nne. Tatizo limeanzia baada ya mwalimu mwenzetu mmoja anayefundisha darasa la tatu kwenda masomoni, sasa nikiwa kama mwalimu wa taaluma niliamua kugawa vipindi vya mwalimu huyu kwa wengine na mimi nikachukua somo la sayansi.

Sasa Leo nikiwa katika kipindi nafundisha na kuandika notisi,kuna kitu cha ajabu kilitokea, mtoto mmoja wa kike aliita sir, nikageuka kumsikiliza akasema"mwalimu Neema kasema eti huyu mwalimu ilibidi awe msichana"(mimi)

Wakuu mwili ulikufa ganzi, nikaishiwa pozi, ilibidi nipotezee ili kuwatuliza wanafunzi maana niliona walidhani labda nitahamaki, kisha nikawaelekeza wale watoto wawili wake ofisini baada ya kipindi.

Walipofika nikataka kiini cha Neema kusema vile akasema akaniangalia nilivyo eti nimefanana na dada yake Dah! Nilikasirika sana ila Neema akajitetea kuwa hata rafiki yake aliemtaja yeye naye husema hivyo hivyo.

Niliwaonya wale wanafunzi kwa kuwapa counselling tu, sikuwaadhibu

Je, wakuu ingekuwa ni wewe ungechukua hatua gani, ili kama nimekosea niboreshe.
Fanya mpango wa picha tukuone kwanza.
 
janet jackson alipokuwa na chura mkubwa alienda kulipunguza. jichunguze asijekuwa amekulinganisha chura wakati umegeukia ubaoni, kakulinganisha na chura wa dadake. au pengine unachekecheka hovyohovyo.
 
Am gentleman
 
Inaelekea wewe ni team Bashite type!!! (just kidding)
Wanafunzi ata sio wa kuwachukulia serious... Tena afadhali wamekwambia mbele yako, kuna wengine wanasemwa vibaya pembeni...
 
Inaelekea wewe ni team Bashite type!!! (just kidding)
Wanafunzi ata sio wa kuwachukulia serious... Tena afadhali wamekwambia mbele yako, kuna wengine wanasemwa vibaya pembeni...
Sawa
 
Umefanya vyema kuchukulia simple na kuwashauri...
Wewe chapa kazi na usiwe na muda wa matani yasiyo rasmi na watoto; hizo ni changamoto za kawaida mashuleni.
Cha msingi usilikomalie kwani kitu kinachokwaza mtu wanafunzi hupenda kukitumia
 
Asante sana
 
Mkuu kwani una msambwanda mkubwa?!

Samahani lkn.
 
Back
Top Bottom