Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,114
tako gani linakaribia magotini, shkamoo mchina
tako gani linakaribia magotini, shkamoo mchina
Wakuu wenzangu poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu.
Naomba nijitambulishe, mimi ni mwalimu wa shule za English medium, yaani shule za mchepuo wa lugha ya kiingereza.
Huwa nafundisha madarasa ya mtihani, wale darasa la saba na darasa la nne. Tatizo limeanzia baada ya mwalimu mwenzetu mmoja anayefundisha darasa la tatu kwenda masomoni, sasa nikiwa kama mwalimu wa taaluma niliamua kugawa vipindi vya mwalimu huyu kwa wengine na mimi nikachukua somo la sayansi.
Sasa Leo nikiwa katika kipindi nafundisha na kuandika notisi,kuna kitu cha ajabu kilitokea, mtoto mmoja wa kike aliita sir, nikageuka kumsikiliza akasema"mwalimu Neema kasema eti huyu mwalimu ilibidi awe msichana"(mimi)
Wakuu mwili ulikufa ganzi, nikaishiwa pozi, ilibidi nipotezee ili kuwatuliza wanafunzi maana niliona walidhani labda nitahamaki, kisha nikawaelekeza wale watoto wawili wake ofisini baada ya kipindi.
Walipofika nikataka kiini cha Neema kusema vile akasema akaniangalia nilivyo eti nimefanana na dada yake Dah! Nilikasirika sana ila Neema akajitetea kuwa hata rafiki yake aliemtaja yeye naye husema hivyo hivyo.
Niliwaonya wale wanafunzi kwa kuwapa counselling tu, sikuwaadhibu
Je, wakuu ingekuwa ni wewe ungechukua hatua gani, ili kama nimekosea niboreshe.
unaleta utata zaidi....muelimishe awe na amani zaidiMh naanza kuwa na mashaka na wewe mwanaume unaweza kusema una rangi ya chocolate, u look weird!
kwan wewe huna matako ndgu...poor approachWezere
totally amaizing answer ...inspire others ....so wonderfulWatu wazima wakisema jambo kuna uwezekano ikawa chuki, unafiki, kukudharaulisha, figisu figisu, wivu, bifu n.k... Lakini mtoto mdogo akisema kitu he/she is very honest, huwa hawana unafiki hata kama anakuchukia.
Mkuu jichunguze, ongea yako, uvaaji wako, movement ya mwili, behavarial patterns, body language n.k. Kama basi walirefer kutokana na sura yako, basi usiwe na shaka, wachukulie kama watoto tu.
sawa but mara nyngi huwa wanatania na kutaka kujua utasemaje wewe kama mkubwa waoo..hawapendagi kufundishwa huku wamenuna au wamechukia..wanapenda kufurahii..utoto nao kazi bwanahMara nyingi watoto huwa wanasema ukweli.
Mmmmmh mbaya wewe..unataka kufanya mwendelezo wa walichofanya madentiWeka Picha yako tukuone ili na sisi tuwe na taswira ya jinsia yako
Mkuu ninakuheshimu pia, nilitania tu, uniwie radhi ndg kama nimekuudhiMkuu ninavyokuheshimu sikutegemea