Yani ukiwa unaandika ubaoni huku nyuma bunyanga ni kubwa?!Mkuu msambwanda ndio nini
Huoni kama ni opportunity? bado hujanielewa?Nikimwambia hivyo sio nitakuwa nimekubaliana Na mawazo ya mwanafunzi
Google tu utaona mkuuMasogange ndo nani Na yukoje labda
Masogange ndo nani Na yukoje labda
Hapo hakuna habari ya malezi mkuu we tafuta kwann unafanana na dada ake kwanzaUngefungwa kwa lipi mkuu
Hiyo itakuwa "Biriani"Icje ikawa wewe ni yule mzee nliemuona Makumbusho stendi ana kalio dodo sana jamani yaan linatikisika na mihips
Kunifananisha mimi na Bashite ndo nini mkuu?!![]()
mkuu kituo kizima kilishangaa kwelikweli nisingeweza kuchukua pichaHiyo itakuwa "Biriani"
Ungechukua hata ka picha mkuu.