HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,993
- 102,833
Sasa kama mitaala mwaka mzima mnakaririsha mitihani ya toka 88 wategemea maajabu gani?Ila Mtaala wetu ni wa hovyo sana
Sasa kama mitaala mwaka mzima mnakaririsha mitihani ya toka 88 wategemea maajabu gani?Ila Mtaala wetu ni wa hovyo sana
Wewe nd umeamua kuangalia swala negatively kwa makasiriko kwa dogo ambae kwanza ni mtoto na unamsingizia na mambo ya kijinga na ajabu na umasikini nd changamoto yako. Dogo alichozungumza hata shuleni tulikuwa tunazungumza hivo hivo kuwa tujitahidi labda mock exams au mitihani ya walimu kwa kuwa necta ni nyepesi sana. Nd maan hata dogo kasema mtu asifocus na necta maan ni nyepesi ila ajikite kwenye mazoezi mengi kwa kufanya mitihani ya kutosha ya kujipima na nd jinsi elimu za shule nyingi zinazojitambua zinafanya hivo kuna hadi ile mitihani ya kutungiana wanafunzi kwa wanafunzi.Dogo mbona km kashaleft group mapema sana?!, anyway, hapo hamna cha maana alichoongea zaidi ya kiburi, dharau, majigambo.
Maisha ya watoto na wadogo zetu hayafanani na yake. Wadogo zetu wengi wao ndo baba, ndo mama nikiwa na maana ya wanajitafutia kula, wanajitafutia ada, n.k.
Kipindi tunamalizia advance Kuna paper ya adv mathematics ilikua ya motoo Hadi walimu wetu wakalalamika kuwa aliyetunga mtihani akuzingatia vigezo.Sema kweli kufeli NECTA kwamba ukose 1,2,3 hata 4 ya kwenda certificate inashangaza sana tena hasa kwa kizazi hiki cha form 4 cha utawala wa Mwendazake na kuendelea na hii haijalishi umesoma kayumba au laah.
Si kupingi bloodNi kada muhimu sana kwa vijana wenye ujuzi na maarifa ya mashindano mbali mbali ya michezo kama mpira wa miguu ambapo vijana hao hutumia ujuzi na maarifa yao kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali na kujipatia pesa halali ya kujikimu
View attachment 2622183
Haonao wameendekeza tamaa ya pesa ,mpaka wameuponzaHuku kwetu kuna watu kama 4 hivi ni wafuasi wa upinde na familia zao ni choka mbaya acha kujifariji itafute pesa kwanguvu
Fanya hivo, utakuwa uesaidia jamiiMambo ni mengi sana nataman hat nianzishe Thread yangu kabsa nielezee hili kiundani ila Kiufupi Ufaulu wa Mtoto unaanzia Na Misingi ya Wanafamilia/kifamilia.
Izo ni porojo tu,kuna sifa gani kufeli mitihani ya darasani?Kufaulu elimu ya darasa,sio kufaulu maisha?
Unadhani atasoma hiyo shule ambayo ada ni mshahara wa mtu mwaka mzima afu akose vyakuanzia?Kufaulu elimu ya darasa,sio kufaulu maisha?
Ni kweli notes kila mahali, lugha ya kuzielewa imo?Watu wamekasirika wakati dogo kaongea ukweli tupu.
Kwa sasa mwanafunzi hapaswi feli wakati notisi zimejaa kila mahali.
Wazazi hawafatilii maendeleo ya watoto wao hivyo mtoto aende au asiende shule haiwahusu.
Watawala na watawaliwa huandaliwa na wazazi
Nawaheshimu sana hawa achana na hao spoons fooding
Unaweza niambia Form 6 wa Feza wanakubaliwa vyuo gani nchi kama USA na UK?Unadhani unaweza somesha mtoto pale?
Je huoni hilo ni swala la mzazi na mwanafunzi?Ni kweli notes kila mahali, lugha ya kuzielewa imo?
Vyuo vyote ukikidhi vigezo unaendaUnaweza niambia Form 6 wa Feza wanakubaliwa vyuo gani nchi kama USA na UK?