Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Iyo ni michuano ya afrika sio ya tz,unataka asemeje?mnapenda kubembelezwa sana mkielezwa mambo kwa uhalisia wake mnamind

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata kama ingekuwa ya Dunia issue ni kwamba ameshika nafas ya tatu na huyo aliyeshika ya kwanza asemaje?
Kwanza emu tupe ufafanuzi kuhusu hiyo michuano ya Hisabati iliyofanyika
 
Simshangai huyo mtoto.Mimi mwenyewe nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa mtu anafeli vipi.Mpaka namaliza chuo kikuu sikuwahi kufeli.Ila maisha yamenipiga na kitu kizito kichwani najiuliza waliotajirika wamewezaje?
Uko off point dogo hajaongelea maisha, yeye kaongelea mitihani.
Na je anaweza someshwa Feza afu akahangaika ka wewe?
 
Utofauti uliopo kati ya Shule za serikali na Shule za Kulipia ni Mkubwa mno kuanzia Hata kwny Mindset tu ya Mwalimu na Mwanafunzi husika,

Mfano Halisi anzia tu Hata Mtaani kwenu angalia watoto wanaosoma Internationa schools na Hizi za Serikali yani Utaona kabsa Maji na Mafuta vilee vinajitenga.

Watt wa Shule za serikali wakilud nyumbani kazi Kuangalia Singeli na Nyimbo za Amelowa hku wakisindikizwa Na migogoro ya Baba na mama ndani ya Nyumba hivi unafkiri hyo mtoto Saikolojia yake itakuw sawa kweli ?

Mambo ni mengi sana nataman hat nianzishe Thread yangu kabsa nielezee hili kiundani ila Kiufupi Ufaulu wa Mtoto unaanzia Na Misingi ya Wanafamilia/kifamilia.
Je hayo ni makosa ya watoto au wazazi kuzaa na kulea katika mazingira magumu?
 
Sema kweli kufeli NECTA kwamba ukose 1,2,3 hata 4 ya kwenda certificate inashangaza sana tena hasa kwa kizazi hiki cha form 4 cha utawala wa Mwendazake na kuendelea na hii haijalishi umesoma kayumba au laah.
Kama wanafunzi wa sasa wanafeli sababu ni wapumbavu, zamani walifeli sababu ni wajinga
 
Acha wivu dogo yupo sahihi shule za washua kama hizo watoto wanafundishwa kujiamini tangu wakiwa primary unakutana na mtoto wa darasa la nne anajibiza ana mtu mzima mpaka unasikia raha wakati kayumba dogo wa la saba unamuuliza swali anajibu huku anaangalia chini mwingine anakukimbia kabisa zaidi hapo ningemuongezea kwa karne hii dogo asome kuelimika sio kutegemea kuajiriwa.
Watanzania wanapenda unafiki, umasikini, roho ya kuonewa huruma, kuitwa wanyonge. Na kundi kubwa la Watz liko hivi
 
Huyu dogo wa kishua sololabien mboga saba anawasolola wenzake wa St. Kayumba?

Anajua life la kitaa cha wana huyu, mbona kama dogo anatafuta penzi la wakulungwa kiaina tumteke tukaishi nae.

Dogo anajua struggle za madogo wa uswazi life lao linavyowapelekesha. Hata ukifaulu NECTA bado maisha yanawakataa, vijana hawana codes za system.
Mnamuonea dogo ila kaongea uhalisia siku hizi mitihani miepesi sana.

Maisha ya mtaani walaumiwe wazazi kushindwa maisha
 
Hata kama ingekuwa ya Dunia issue ni kwamba ameshika nafas ya tatu na huyo aliyeshika ya kwanza asemaje?
Kwanza emu tupe ufafanuzi kuhusu hiyo michuano ya Hisabati iliyofanyika
Kuna ulazima gani kushika nafasi ya kwanza?kwanza lazima utambue kijana amejitahidi sana kwasababu walikua wanafunzi 49 wamepita 6 sita tu kwenda kwenye michuano ya mabara

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kashapiga one yake safi O level apo ameshinda michuano ya Hisabati kwa afrika ameshika nafasi ya tatu kwa level ya O level..Na ameshahama mtaala anasoma cambridge A lavel

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa huoni utofauti, dogo kajiongeza mwenyewe, akitoka hapo anaenda nje ya nchi. Anarudi kuongoza kampuni
 
Back
Top Bottom