Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Kuna tofauti ndogo sana baina ya kiburi na kujiamini.

Japo dogo anahisi kaongea kwa kujiamini, kihalisia kinachosikika hapo ni kiburi, majigambo na dharau.

By the way, bwana mdogo kesha left group. Uzungu mwingi una madhara yake nao. Nina hakika hapo alipo anaji identify kama 'they/them'.
Sawa ana akili nyingi, je marinda yapo?
Acha wivu dogo yupo sahihi shule za washua kama hizo watoto wanafundishwa kujiamini tangu wakiwa primary unakutana na mtoto wa darasa la nne anajibiza ana mtu mzima mpaka unasikia raha wakati kayumba dogo wa la saba unamuuliza swali anajibu huku anaangalia chini mwingine anakukimbia kabisa zaidi hapo ningemuongezea kwa karne hii dogo asome kuelimika sio kutegemea kuajiriwa.
 
Ni kada muhimu sana kwa vijana wenye ujuzi na maarifa ya mashindano mbali mbali ya michezo kama mpira wa miguu ambapo vijana hao hutumia ujuzi na maarifa yao kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali na kujipatia pesa halali ya kujikimu

View attachment 2622183
mzungu aisee anajua kuharibu vizazi vya kiafrika. hapo akitoka asipofanikiwa anaenda kuwa aidha mchawi, tapeli au mwizi, manake kazi zingine hawezi kufanya tena.
 
Huyu dogo wa kishua sololabien mboga saba anawasolola wenzake wa St. Kayumba?

Anajua life la kitaa cha wana huyu, mbona kama dogo anatafuta penzi la wakulungwa kiaina tumteke tukaishi nae.

Dogo anajua struggle za madogo wa uswazi life lao linavyowapelekesha. Hata ukifaulu NECTA bado maisha yanawakataa, vijana hawana codes za system.
 
Watt wa Shule za serikali wakilud nyumbani kazi Kuangalia Singeli na Nyimbo za Amelowa hku wakisindikizwa Na migogoro ya Baba na mama ndani ya Nyumba hivi unafkiri hyo mtoto Saikolojia yake itakuw sawa kweli ?
Nimecheka sana hapo kwenye nyimbo za amelowa😀😀 na wakisindikizwa na migogoro ya wazazi..dah, nchi ngumu sana hii, kutoboa ni kwa ufinyu sana.
 
Kwa aina hii ya shule bado anaendelea kushangaa kweli?
1658436001.jpg
 
Back
Top Bottom