Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,174
- 26,912
Afisa ubashiri ni wazee wa mikeMaafisa Ubashiri ndio nini?![]()
Afisa usafirshaji ni bodaboda

Afisa ubashiri ni wazee wa mikeMaafisa Ubashiri ndio nini?![]()

Dogo yupo sahihiSio kazi yake kuzungumzia aliyeshinda nafasi ya kwanza na ya pili, tafuta mahojiano yao ujue wamesema nini. Yeye kahojiwa katoa hoja zake na kajibu maswali yake.
Yeye kashangaa kwanini watu wanafeli, ni sawa na mtu mwingine akishangaa kwanini watu wanaenda kwa waganga na mwingine anashangaa kwanini wanaenda kwa Mwamposa. Hakuna sehemu kadhihaki mtu.
Na katoa maoni juu ya mitihani ya NECTA ilivyo. Mnalazimisha mtoto awe na hekima ambazo wazee wengine humu hawana. Mnalazimisha atambue maisha yenu ambayo hayajui ndio maana kasema anashangaa. Mnalazimisha ajue umaskini wa wengine ambavyo sio kazi yake na hana haja ya kuujua kwa umri wake.
Mtoto mdogo mnamletea hasira na kumuombea mabaya
Nimecheka sana wallahi. Maelezo uliyoweka hapo na picha husika ya tukio vimeshindwa kulandanaNi kada muhimu sana kwa vijana wenye ujuzi na maarifa ya mashindano mbali mbali ya michezo kama mpira wa miguu ambapo vijana hao hutumia ujuzi na maarifa yao kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali na kujipatia pesa halali ya kujikimu
View attachment 2622183
Spoon feedingNawaheshimu sana hawa achana na hao spoons fooding
Hao ni vilaza, wachawi, wenye wivu na husda. Pia wapewe kombe au kama vipi serikali ianzishe tuzo ya maskini bora wawe wanashindana maana haiwezekani binadamu mwenye akili timamu ajivunie shida na umaskini. Ni punguani tu atajisifia ujinga na kumponda aliyefanikiwa.Nyie wapuuzi mnaosema huyo mtoto kaleft group.
Mnakosea tena Mnakosea Sana
Mnataka mtu aweje mseme ili mridhike kwenye nafsi zenu, Binafsi ushoga naupinga sana tuu. Lakin siwez kujitoa akili na kusema huyo mtoto ni Shoga. Watu hamna Exposure kabisa hamjakutana na vitu tofauti, hamjaona watu tofaut. Kila siku mko na watu wa level zile zile hapo mnajifunza nini ??
Huyo ni mtoto mdogo tuu around 16 or less bado hajakomaa kama wewe hapo, Maisha yake ni tofauti na yale uliyokulia wewe huko kwenu(analala pazuri, anakula vizuri, hana stress za kipuuzi, hateswi kwao, ana malengo yamenyooka)
He speaks his mind with honestly voice. Kama umekosa cha kusema ni bora useme huyu mtoto NI PHYSICALLY WEAK na sio eti KALEFT GROUP mlaaniwe wote mliosema hivyo.
Watu Kama Benjamin Fernandes mmiliki wa Nala pia mtasema Ni shoga sababu tu ya tone yake ya mazungumzo and being humble guy. Watu wajinga kama hao huko juu wanatak u'act rude eti ndio kidume
Imeniuma Sana, kwa kweli badirike Jaribuni kua " Open minded " msisemee watu vibaya tofaut na uhalisia
Pole mkuuSimshangai huyo mtoto.Mimi mwenyewe nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa mtu anafeli vipi.Mpaka namaliza chuo kikuu sikuwahi kufeli.Ila maisha yamenipiga na kitu kizito kichwani najiuliza waliotajirika wamewezaje?🤣🤣🤣
Si tunafanya wote na wewe ndio maana ukajua kuwa ndio michezo tunayofanya.Sikubishii, sababu ndiyo tabia na michezo unayoijua zaidi kuliko chochote
Angalau sasa umekua muungwana na umeukubali ukweli huo kuwa huwa unafanyana, hivyo acha kusingizia hayo mambo kila mtu unayeona amekuzidi.Si tunafanya wote na wewe ndio maana ukajua kuwa ndio michezo tunayofanya.
Sasa mzazi kutwa kufatilia mambo ya kina mondi kajala konde kiba na kwa upande wa baba kutwa kubishana mambo ya mpiraWatu wamekasirika wakati dogo kaongea ukweli tupu.
Kwa sasa mwanafunzi hapaswi feli wakati notisi zimejaa kila mahali.
Wazazi hawafatilii maendeleo ya watoto wao hivyo mtoto aende au asiende shule haiwahusu.
Watawala na watawaliwa huandaliwa na wazazi
Akili ya kupata A au akili gani ?Watu wote wenye akili huongea kwa gestures
Namtaka aliyewanunulia hivyo viatu
Kabsa Mkuu yan hizi shule za serikali changamoto ni nying sanaUkiongezea na huko Kayumba walimu wa kupatikana kwa manati au mwalimu mmoja wanafunzi 80 na wengine hawali chakula ni shida tupu.
Yani sana maan kila sehemu kuna mapungufu tena sio madogo ni makubwaNimecheka sana hapo kwenye nyimbo za amelowa😀😀 na wakisindikizwa na migogoro ya wazazi..dah, nchi ngumu sana hii, kutoboa ni kwa ufinyu sana.
Na usiku badala ya mtoto alale kazi kumfundisha ushirikana na uchawiuchawi tu IL asumbue wengineSasa mzazi kutwa kufatilia mambo ya kina mondi kajala konde kiba na kwa upande wa baba kutwa kubishana mambo ya mpira![]()
Mtoto atatoboa kweli
Ova
Feza ada ni sh ngap kwa mwaka?Ambapo ada yake ni mshahara wa mtu mwaka mzima
Na hili swala litaendelea kuwepo kadri siku zinavyoenda, wazazi wasipoona umuhimu wa shule, hawawezi somesha watoto wao na kuwakazania wasomeSasa mzazi kutwa kufatilia mambo ya kina mondi kajala konde kiba na kwa upande wa baba kutwa kubishana mambo ya mpira![]()
Mtoto atatoboa kweli
Ova
Wamenunuliwa na mama zaoNamtaka aliyewanunulia hivyo viatu
Bado najiuliza wale walikuwa wanafanya nini kwenye tenk la Maharage..Maisha ndio yalivyo
wengine wanakufa kwny matenki ya kuhifadhia. Maharage wengine hawajui kwanini wenzao wanafeli