Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Acha inferiority complex, nyie mkishaona watu wanajiamini mnakimbiloa kuwarushia kasha, hadi lini mtakuja muache hizo mambo.
Habari za ooh hana marinda, ooh kasha left group, mnazipenda hizo habari sababu ndiyo mna uzoefu maxo huko mitaani kwenu mnapoishi hivyo kila mkiingia sehemu ambayo kwenu ni kina k8refu mnadai hana Marinda.
Msichokijua ni kwamba hizo hayo mnayowashutumu nayo wengine yanajenga picha ya ni kitu gani ni common huko mnapoishi
Call it inferiority complex, I call it facts. The kid is plain old arrogant and a faggot as a faggot can be.
 
Hivi kutengeneze madawa,silaha nzito na vitu kama hivyo inatokana na kufaulu vizuri katika masomo na kusoma shule za kimataifa au Kuna Nini kingine maana sioni maajbu ya kifanyika Africa

Au ni ufundi kama wa watu wagereji wakiwa makini zaidi wanaweza wakaunda injini
 
Simshangai huyo mtoto.Mimi mwenyewe nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa mtu anafeli vipi.Mpaka namaliza chuo kikuu sikuwahi kufeli.Ila maisha yamenipiga na kitu kizito kichwani najiuliza waliotajirika wamewezaje?🤣🤣🤣
Tofauti yake na wewe,ni kuwa yeye maisha hayatampiga.Akikosa kabisa ajira wana hotel yao kubwa tu hapa mjini Inaitwa Mbezi garden hotel.Atakuwa hata manager hapo.Baba yake Ni IT director huko Bandarini.Maisha hayawezi kumpiga.Familia ina.biashara ya kurithishwa vizazi na vizazi kama hotel za Hilton.
 
Sihitaji kupeleka mtoto shule alafu aanze kusahau Kiswahili na kujirembua (kuongea kwa ishara) namna hii. ukileta mtoto wa kizungu hapo utakuta anaongea straight tu, ila wa kibongo lazima alete mbwembwe. au angeletwa hata wa international school of TAnganyika tu. hata hivyo, nampongeza mzazi na mtoto kwa hatua hiyo.
Halafu mbona kama accent yake inaonekana kama huyu mtoto sio mtanzania ? Naona kama ni jamii ya kisomali huko au ninekosea ?
 
Bado ni mtoto anazungumza anachokiaona machoni mwake, siku akiwa na utambuzi atajua ni kwa nini wanaofanya hizo NECTA wanaona ngumu.

Ni sawa sawa na mtoto anayemuona Baba yake ndio tajiri pekee duniani.
Ameshaelezea na solution ametoa , mitihani ya necta inatungwa kwa ajili ya wanokaririri na yeye tayari anafanya cambridge syllabus ambayo inahitaji kuelewa zaidi kuliko kukariri.
Tayari ana uelewa wa juu kabisa.
 
Hata kama ingekuwa ya Dunia issue ni kwamba ameshika nafas ya tatu na huyo aliyeshika ya kwanza asemaje?
Kwanza emu tupe ufafanuzi kuhusu hiyo michuano ya Hisabati iliyofanyika
Sio kazi yake kuzungumzia aliyeshinda nafasi ya kwanza na ya pili, tafuta mahojiano yao ujue wamesema nini. Yeye kahojiwa katoa hoja zake na kajibu maswali yake.

Yeye kashangaa kwanini watu wanafeli, ni sawa na mtu mwingine akishangaa kwanini watu wanaenda kwa waganga na mwingine anashangaa kwanini wanaenda kwa Mwamposa. Hakuna sehemu kadhihaki mtu.

Na katoa maoni juu ya mitihani ya NECTA ilivyo. Mnalazimisha mtoto awe na hekima ambazo wazee wengine humu hawana. Mnalazimisha atambue maisha yenu ambayo hayajui ndio maana kasema anashangaa. Mnalazimisha ajue umaskini wa wengine ambavyo sio kazi yake na hana haja ya kuujua kwa umri wake.

Mtoto mdogo mnamletea hasira na kumuombea mabaya
 
Back
Top Bottom