Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Anaefaulu hizo Shule wala asijeakajiona ako na akili kubwa kuliko wale walosoma Shule za kawaida za serikali.

Hawa wa Feza and the like wakisoma Shule za kawaida za serikali nao wangeshindwa wengi tu.

Hawa wanalewa kimayaimayai tu, wanalishwa kama kuku wa kisasa.

Wewe matharani mwanafunzi anaesoma Shule ya kutwa Dar es salaam,
Anaamka alfajiri ajiandae awahi daladala awahi Shule , kutembea hadi kituoni kwa mguu akagombanie daladala, akifika Shule kachoka, wengine hela ya kula Shule hana anabangaiza, akitoka Shule hekaheka tena kurejea home,
Akifika home kazi za nyumbani zinamsubiri kuosha vyombo, kupika , kufyeka , kufua n.k.
Akijakulala yu hoi bin taabani,
Shuleni kwenyewe usafi wanafanya wenyewe hakuna Wafanyakazi.

Lakini kule Feza wanafanyiwa kila kitu,

Materials yote wanapewa wakati huku government inabidi kujitafutia mwenyewe.

Kwa hiyo ukiona mwanafunzi wa government amepata division one au two hiyo ndiye mwenye akili kubwa kuliko alosoma Feza and the like .

Mazingira na huduma zote zinawabeba hata vilaza wanafaulu huko.
 
Sihitaji kupeleka mtoto shule alafu aanze kusahau Kiswahili na kujirembua (kuongea kwa ishara) namna hii. ukileta mtoto wa kizungu hapo utakuta anaongea straight tu, ila wa kibongo lazima alete mbwembwe. au angeletwa hata wa international school of TAnganyika tu. hata hivyo, nampongeza mzazi na mtoto kwa hatua hiyo.
Dah mwnangu Umeongea kwa hisia sana 🤣🤣🤣🤣
 
Anaefaulu hizo Shule wala asijeakajiona ako na akili kubwa kuliko wale walosoma Shule za kawaida za serikali.

Hawa wa Feza and the like wakisoma Shule za kawaida za serikali nao wangeshindwa wengi tu.

Hawa wanalewa kimayaimayai tu, wanalishwa kama kuku wa kisasa.

Wewe matharani mwanafunzi anaesoma Shule ya kutwa Dar es salaam,
Anaamka alfajiri ajiandae awahi daladala awahi Shule , kutembea hadi kituoni kwa mguu akagombanie daladala, akifika Shule kachoka, wengine hela ya kula Shule hana anabangaiza, akitoka Shule hekaheka tena kurejea home,
Akifika home kazi za nyumbani zinamsubiri kuosha vyombo, kupika , kufyeka , kufua n.k.
Akijakulala yu hoi bin taabani,
Shuleni kwenyewe usafi wanafanya wenyewe hakuna Wafanyakazi.

Lakini kule Feza wanafanyiwa kila kitu,

Materials yote wanapewa wakati huku government inabidi kujitafutia mwenyewe.

Kwa hiyo ukiona mwanafunzi wa government amepata division one au two hiyo ndiye mwenye akili kubwa kuliko alosoma Feza and the like .

Mazingira na huduma zote zinawabeba hata vilaza wanafaulu huko.
je ni sahihi yanayofanyika government?
 
Mbona kaongea vizuri na viashiria vya ushoga ni vipi?
Wana jamii f wengi mashoga qmmke.
Huwezi kutambua viashiria vya ushoga kama hujihusishi na ushoga wenyewe, si vyema kunena mabaya kwa watoto.
 
Back
Top Bottom