PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,707
- 25,990
Wabongo kwa kijicho hamuwezekaniki kwa kweli.Mwisho wao wanadondokea upinde
Kwa hiyo wanaodondokea huko wote ni wale wanaojitambua, na wenye elimu nzuri na wanaojiweza kimaisha?
Hivi tukianza kuwaorodhesha wale wanaofanya matendo hayo unadhani ni wa kutoka levels zipi za maisha watakaoongoza?
