Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Shule za Serikali za Kata zina wanafunzi ambao wanasoma sababu wamelazimishwa kusoma.

Nina ndugu yangu anasoma sehemu shule iko karibu ila anapata Dovision 4 sasa huyu utasingizia nini na ni Dsm hapandi hata daladala maana ni mwendo wa dakika 5
Exactly kusoma sio sehemu ya maisha Yao kabisaaa
Hakuna sababu yoyote ya wao kufeli Mimi tu ndo mmesoma shule hizi 8 kubwa za dar enzi hizo na mdogo wangu but wengine woote wamesoma kata na wamefaulu
Kusoma ni kuamua
 
Ashukuru yupo kwenye neema wenzie wanaishi kama wapo depo Mara akamilishe kazi zote za nyumbani ndiyo asome, ada yenyewe haipatikani kirahisi lazima apambane
Elimu bure
 
Mkuu huyu ni mtoto ana miaka 13

Unavyomjibu hapa ni as if unaongea na mtu ana miaka 25

He is just a baby

No wonder hata wewe ulipokua na miaka 13 usingewe kuumba sentensi kama yeye hapo

Hivi mtoto anahukumiwaga kama ulivyofanya hapa?

Chuki tupu
Yaani hii nchi watu tuna stress mpk Kwa watoto wadogo kama Hawa
Nimeshangaa sana ujue
 
Hii hakuna hoja uliyotoa ya kum discourage huyu mtoto asiongee Kingereza

Huna hoja hiyo

Kilichopo hapa ni wewe kua class ya chini ya maisha na yeye kutoka familia ya class ya juu kimapato...hakuna kingine kinachokuuma hapo

Ni class struggle hapo

Wewe ni masikini ndio shida

Shida sio Kingereza cha huyo mtoto

Huna fedha za kusomesha mtoto wako shule za pesa kubwa wajue Kingereza kama huyu mtoto

Kingereza sio tatizo....tatizo hapa ni kipato cha nyumbani cha huyu kijana ni kikubwa sana zaidi yako ndio maana hasira zake umezigeuzia kwenye Kingereza which is very useless!


Plus huyu ni mtoto mdogo hajafika 18yrs,anaongea kama mtoto,ila wewe mavi yamekujaa matakoni unaharisha thread nzima as if huyu mtoto ni mtu mzima kama wewe!

It is very strange

Na funny thing is,wananchi wamekupa likes kama zote,inaonesha jamii yetu ni masikini kiasi kwamba wameloose reasoning kabisa sababu ya shida zao za kutokujua Kingereza na kipato chake

Jamii yetu ni very useless,ndio maana Kenya wataendelea kushika pua tukiongea Kingereza

Badala hata ya kumsifia huyu mtoto kwa kujitahidi hata kuongea Kingereza kwa walao kiwango chake kidogo cha Kitanzania,kwanza wewe unamsimanga kama mtu mzima mwenzio as if wewe unaweza andika sentensi ya Kingereza iliyo sahihi.

Bure kabisa!
binafsi nimeshangazwa sana na wanao mshambulia huyo mototo hii imenipa mwanga ni kweli shule za kata haziwapi wahitimu weke wigo wa kupambanua mambo yani mtu anasahau jambo muhimu kabisa kua huyu ni mtoto
 
Sahihi kabisaaa
Mimi kwetu sote tumesoma Gvt from primary to sec level na tulifaulu
Huko kata watoto wanapata single digit wengine zero
Inshort malezi na utambuzi ndo humfaya mtoto afaulu

Elimu ni mazingira na kurithi km wazazi hatuwaandalii watoto mazingira ya elimu watafeli tu na kama karithi akili ndogo ndo kushneiii
Hebu mkuu niambie,mlifaulu nyie,nyuma uliacha wangapi madarasa uliyopitia walifeli mpaka leo wananyoa saluni,na kufanya vibarua vya ujenzi na kufanya kazi gereji?

Ni wangapi....ni nearly 70%

Shule za government ni janga,nyie selected few mlipita na biological selection maana mlizaliwa na wazazi wenye IQ waliwarithisha biological,otherwise mngefeli kama wengine 70% uliowaacha

Kutegemea experience uliyopitia wewe eti mtoto wako leo apitie hiyo hiyo ni lazima atafeli sababu ya regression law

Lazima umpeleke the best you can kuongeza chances za yeye kufaulu....

Hapa naona watu masikini wanagombana wana watu matajiri,huu ugomvi upo milele na milele na hauwezi kuisha!
 
Yaani hii nchi watu tuna stress mpk Kwa watoto wadogo kama Hawa
Nimeshangaa sana ujue
Mtoto wa miaka 13 anatukanwa kama mtu mzima yaani

Ni mtoto mdogo sana,yeye mwenyewe alipokuaga na miaka 13 huenda hata kuumba sentensi au kutoa kitu chenye logic ilikua tatizo

Hapa haya yote ya morality supremacy wanavyojifanya kutoa hapa as if wao ndio the most righteous people on earth ni cover tu

Hapa ni vita ya wivu kama ya masikini kwenye kwa wenye kipato na maisha ya affluence kama anakotoka huyu kijana!
 
Binafsi dogo kani inspire sana na ni ndoto yangu wanangu wawe kama huyu sema mazingira ninayoishi sasa yanasumbua hakuna shule nzuri na yenye kiwango cha kimataifa na sitaki kupeleka watoto wa shule ya msingi boarding japo kuna shule za English medium na ndio wanasoma huko ila wakianza Sekondari, wotw either Marian Girls au Fedha boys. Nataka watoto wangu wawe hivyo kwani mimi nilisoma kwenye vidumu na fagio la chelewa.
 
Utofauti uliopo kati ya Shule za serikali na Shule za Kulipia ni Mkubwa mno kuanzia Hata kwny Mindset tu ya Mwalimu na Mwanafunzi husika,

Mfano Halisi anzia tu Hata Mtaani kwenu angalia watoto wanaosoma Internationa schools na Hizi za Serikali yani Utaona kabsa Maji na Mafuta vilee vinajitenga.

Watt wa Shule za serikali wakilud nyumbani kazi Kuangalia Singeli na Nyimbo za Amelowa hku wakisindikizwa Na migogoro ya Baba na mama ndani ya Nyumba hivi unafkiri hyo mtoto Saikolojia yake itakuw sawa kweli ?

Mambo ni mengi sana nataman hat nianzishe Thread yangu kabsa nielezee hili kiundani ila Kiufupi Ufaulu wa Mtoto unaanzia Na Misingi ya Wanafamilia/kifamilia.
Ukiona mtoto wako hana akili kwa olevel na advance mpele huko,ila kama akili zimo zimo tafuta shule ya serikali nzuri peleka mtoto.

Huo utofauti labda shule za msingi tu,ila secondary upo ila unategemeana na mazingira
 
mzungu aisee anajua kuharibu vizazi vya kiafrika. hapo akitoka asipofanikiwa anaenda kuwa aidha mchawi, tapeli au mwizi, manake kazi zingine hawezi kufanya tena.
Feza ni ya waturuki waislamu sio wazungu. Rejea mada husika
 
Binafsi dogo kani inspire sana na ni ndoto yangu wanangu wawe kama huyu sema mazingira ninayoishi sasa yanasumbua hakuna shule nzuri na yenye kiwango cha kimataifa na sitaki kupeleka watoto wa shule ya msingi boarding japo kuna shule za English medium na ndio wanasoma huko ila wakianza Sekondari, wotw either Marian Girls au Fedha boys. Nataka watoto wangu wawe hivyo kwani mimi nilisoma kwenye vidumu na fagio la chelewa.
*Feza Boys'
 
Ukiona mtoto wako hana akili kwa olevel na advance mpele huko,ila kama akili zimo zimo tafuta shule ya serikali nzuri peleka mtoto.

Huo utofauti labda shule za msingi tu,ila secondary upo ila unategemeana na mazingira
Acha uwongo. Kuna shule za serikali secondary zinaongoza kwa zero na 4 shule za gvt zinazofaulu secondary ni chache.
 
Sina mengi sana, pamoja na utoto wake ila naona ana point.

Cc: Wanafunzi wa shule za St. Kayumba

Huyo mtoto Wala asishambuliwe,hajui maisha ya uswazi,elimu za kutembea na fagio na kidumu Cha maji,kukalia mawe,darasa Moja mpo 80!
Laiti angeyajua hayo,angeelewa,Wazazi wengi wanaosomesha watoto feza,nk,wengi wao walisoma st kayumba,lakini walitoboa kiugumu ugumu.
 
Back
Top Bottom