Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Tanzania haina wahamiaji wengi wenye asili ya Kituruki hadi Waturuki waje kufungua school system yao Tanzania. Hii ni tofauti na Indian school, kwa mfano. Kwa nini watu wa taifa moja watake kufungua mfumo wa shule kwenye taifa lingine ambalo almost hamna wanafunzi wa taifa lao nchi husika? Una jibu?
kwanza nadhani wewe tayari umejenga hisia fulani kwa waturuki, kwani huko marekani na nchi nyingine wako waturuki wangapi wa kujustify kufungua shule? Wale mipango yao yote ni European/American na ndiyo maana wanajipangisha kuwa members wa European union.

Yule mweye zile shule actuallly ni raia wa marekani (mwenye asili ya uturuki), unadhani anafuata hiyo system ya kituruki?
 
Wengine wanasema mitihani mirahisi wengn wanasema shule ngumu
Leo shule za serikali zimeshinda kando ya barabara kusubiri mbio za mwenge, huku muziki umekodiwa na sare za mwenge wakicheza singeli... At the end wanasema wanafunz wa Feza mnawasema kiburi.. aisee hii nchi inawatu wa ajabu
Si ajabu watoto watakuwa wakiona chuma lenye moto likikimbizwa na wasijue inamaana gani
 
Yani people are so bitter and envious! Kuanza kumtabiria mtoto wa watu upinde kisa anavyoongea, too negative! Angeongea kiswahili kilichonyooka wasingesema hivyo..
Hayo majitu inabidi kuyazoea tu, maana yapo tangu zamani.
Miaka 80 na 90 kulikua na tabia ya kuwa discourage wale watoto ambao wazazi wao walikua wanawajali na kuhakikisha usalama wao, wale watoto waliitwa majina yote mabaya, mara 'yakufugwa, mara matoto ya geti' ili mradi kuwa frustrate na kuwajengea tabia ya ukaidi kwa wazazi wao na wengine wakawa wakaidi kweli. Badala ya kusikiliza wazazi wakaamza kusikiliza wenzao mitaani.

Wenyewe walimua huru sababu wazazi wao hawakua na muda nao wala muda wa malezi kwao waliwazaa na kuwaacha wawe wanatangatanga mitaani kama vifaranga vya kuku wa kienyeji. Ukiondoka kwenda kutembea au shule halafu ukarudi baada ya muda wa kula basi wewe siku hiyo hesabu mfungo/kwarezima na wazazi wao walikua na msemo kwamba "Mtembezi hula miguu yake".

ili kuwa dogosha wale wanaotoka kwenye familia ambazo wakirudi nyumbani Chakula wanakikuta au kama kimeisha watapikiwa, wakaanza kuwaita wenza "Mboga saba".

Kimsingi waliyatamani maisha ya geti kali lakini kikwazo wazazi hawakua na uwezo na zaidi hata nyumba zao hazikua si na mageti tu bali milangoni either kulikua na mlango wa kuegeshwa au palining'inizwa pazia tu.
 
kwanza nadhani wewe tayari umejenga hisia fulani kwa waturuki, kwani huko marekani na nchi nyingine wako waturuki wangapi wa kujustify kufungua shule? Wale mipango yao yote ni European/American na ndiyo maana wanajipangisha kuwa members wa European union.

Yule mweye zile shule actuallly ni raia wa marekani (mwenye asili ya uturuki), unadhani anafuata hiyo system ya kituruki?
Huko Ulaya na Marekani shule za Gulen zinalenga wanafunzi wenye immigrant background za kutoka imani ya Kiislamu, tena nyingine ni exclusively Muslim only na ni boarding schools. Uraia wa Marekani wa Gulen hauna uhusiano wowote maana alipewa ukimbizi huko. Utakuwa mjinga kama unafikiri hakuna agenda ya siri ya kufungua hizi shule za Gulen kwa nchi kama Tanzania ambapo hakuna sababu ya kuanzisha mfumo mzima wa shule za Kituruki na kuleta walimu na administrators kutoka Uturuki ilhali idadi ya Wahamiaji kutoka Uturuki ni negligible Tanzania.
 
Wazazi wake hawa msemeshi kiswahili nyumbani
Shida iko hapo!
Kosa sio la mtoto na hajui kiswahili vizuri, hiyo ndio fact!
Mtoto hana kosa kabisa!
Yaani niache kumfundisha mtoto lugha ambayo maarifa mengi yameandikwa kwa lugha hiyo eti nikomae kumfundisha lugha ambayo mtaani kwake na kila sehemu ndiyo wanaiongea?
 
Semeni yooote ila as a teacher namuelewa dogo watoto wa shule za kata sio wasomaji kabisaaa km D mbili mtu anakosa za div 4,kweeeli?!!guys Ht kiswahili still wanafunzi wanapata F
Mtoto anaepata zero necta ni bure
Watoto wana kariri tu mziki singeli
Na kufatilia maisha ya wasanii tu
Hapo unategemea nini

Ova
 
kwanza nadhani wewe tayari umejenga hisia fulani kwa waturuki, kwani huko marekani na nchi nyingine wako waturuki wangapi wa kujustify kufungua shule? Wale mipango yao yote ni European/American na ndiyo maana wanajipangisha kuwa members wa European union.

Yule mweye zile shule actuallly ni raia wa marekani (mwenye asili ya uturuki), unadhani anafuata hiyo system ya kituruki?
Ukiweza soma hii article ya The Atlantic Magazine kujua undani wa mfumo wa shule za Gulen ikiwamo Feza:

Hayo majitu inabidi kuyazoea tu, maana yapo tangu zamani.
Miaka 80 na 90 kulikua na tabia ya kuwa discourage wale watoto ambao wazazi wao walikua wanawajali na kuhakikisha usalama wao, wale watoto waliitwa majina yote mabaya, mara 'yakufugwa, mara matoto ya geti' ili mradi kuwa frustrate na kuwajengea tabia ya ukaidi kwa wazazi wao na wengine wakawa wakaidi kweli. Badala ya kusikiliza wazazi wakaamza kusikiliza wenzao mitaani.

Wenyewe walimua huru sababu wazazi wao hawakua na muda nao wala muda wa malezi kwao waliwazaa na kuwaacha wawe wanatangatanga mitaani kama vifaranga vya kuku wa kienyeji. Ukiondoka kwenda kutembea au shule halafu ukarudi baada ya muda wa kula basi wewe siku hiyo hesabu mfungo/kwarezima na wazazi wao walikua na msemo kwamba "Mtembezi hula miguu yake".

ili kuwa dogosha wale wanaotoka kwenye familia ambazo wakirudi nyumbani Chakula wanakikuta au kama kimeisha watapikiwa, wakaanza kuwaita wenza "Mboga saba".

Kimsingi waliyatamani maisha ya geti kali lakini kikwazo wazazi hawakua na uwezo na zaidi hata nyumba zao hazikua si na mageti tu bali milangoni either kulikua na mlango wa kuegeshwa au palining'inizwa pazia tu.
Hahahaha ukisoma baadhi ya watu humu unaona jinsi wako na sonona! Ulichokisema ni sahihi sana umaskini unasababisha roho mbaya,wivu, na chuki. Imagine mtu haoni hata kitu kimoja positive kny kitu mtoto alichoongea! Mbaya zaidi mtu mzima tena ukute nae ana watoto anaongea mbovu kwa mtoto wakumbuke vidole havilingani 😁
 
Dogo ameongea logic kuliko wengi ambavyo wangeweza kuongea walipokua katika umri wake
 
Bora mzazi mwenye uwezo ulipie ada watoto wasome shuøe zenye mitaala ya kueleweks kama Cambridge au IB mfano FK Schools, Braeburn, HOPAC, The Latham School etc kuliko Feza ambayo mitaal yake haileweki na ipo Kiiislamu zaidi lkn kwa kujificha. Ukimpeleka mwanao shule ambayo zaidi ya asilimia 50 ya wanafunzi ni Waislamu ujue hapo hamna kitu. Hizo academic competitions nyingi wanazojisifia wanafunzi wao kufanya vizuri nyingi kama siyo zote waanzilishi, wafadhili, na participants ni kutoka mfumo wa shule za Gulen zenyewe.
 
Back
Top Bottom