Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

lol, kama kawaida wabongo mnasubiri mtu afeli ufurahi alafu baadae unajiuliza wewe mwenyewe unafeli wapi
Nikifurahi itanisaidia nini?
Namkumbusha tu kwamba technology haisahau kitu. Akiteleza itamkumbusha... Ipo hivyo.
Kalelewa vibaya ana dharau.
 
Kuna tofauti ndogo sana baina ya kiburi na kujiamini.

Japo dogo anahisi kaongea kwa kujiamini, kihalisia kinachosikika hapo ni kiburi, majigambo na dharau.

By the way, bwana mdogo kesha left group. Uzungu mwingi una madhara yake nao. Nina hakika hapo alipo anaji identify kama 'they/them'.
Sawa ana akili nyingi, je marinda yapo?
Mwisho wao wanadondokea upinde

Mnawaza ushoga tu, what does that say about you? Kimjaacho mtu ....
 
Tofauti yake na wewe,ni kuwa yeye maisha hayatampiga.Akikosa kabisa ajira wana hotel yao kubwa tu hapa mjini Inaitwa Mbezi garden hotel.Atakuwa hata manager hapo.Baba yake Ni IT director huko Bandarini.Maisha hayawezi kumpiga.Familia ina.biashara ya kurithishwa vizazi na vizazi kama hotel za Hilton.
Ina maana dogo ni mtanzania ? Sasa inakuwaje hujui kuongea kiswahili?
 
Ni kada muhimu sana kwa vijana wenye ujuzi na maarifa ya mashindano mbali mbali ya michezo kama mpira wa miguu ambapo vijana hao hutumia ujuzi na maarifa yao kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali na kujipatia pesa halali ya kujikimu

View attachment 2622183
Tafadhali kindly share JD ya hii kazi tuone kama tunafit tuweze kuapply 😂🤣
 
Watu wamekasirika wakati dogo kaongea ukweli tupu.
Kwa sasa mwanafunzi hapaswi feli wakati notisi zimejaa kila mahali.

Wazazi hawafatilii maendeleo ya watoto wao hivyo mtoto aende au asiende shule haiwahusu.

Watawala na watawaliwa huandaliwa na wazazi
Sahihi kabisaaa
Mimi kwetu sote tumesoma Gvt from primary to sec level na tulifaulu
Huko kata watoto wanapata single digit wengine zero
Inshort malezi na utambuzi ndo humfaya mtoto afaulu

Elimu ni mazingira na kurithi km wazazi hatuwaandalii watoto mazingira ya elimu watafeli tu na kama karithi akili ndogo ndo kushneiii
 
Acha wivu na ujinga wako ,wazaz wanampromote wapi?hama uko uswazi kunafubaza uwezo wa kufikiri

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
We ndio jinga kabisa...angalia page za wazazi wake,inaonekana hata hujui wazazi wake....mama yake anaitwa Haika lawere na baba yake somebody magesa wa bandarini. Wazazi wake wako wanazurura tu mara Clouds etc utadhani mtoto kawa top in the world..na angalia page za wazazi wake ndio uje uongee utumbo
 
Sema kweli kufeli NECTA kwamba ukose 1,2,3 hata 4 ya kwenda certificate inashangaza sana tena hasa kwa kizazi hiki cha form 4 cha utawala wa Mwendazake na kuendelea na hii haijalishi umesoma kayumba au laah.
Absolutely
 
Hahhaa majitu yaliyofeli FOM FOO yanamuonea wivu dogo.

Nilishasemaga humu jamiiforums pamejaa mavilaza tupu.
 
Sahihi kabisaaa
Mimi kwetu sote tumesoma Gvt from primary to sec level na tulifaulu
Huko kata watoto wanapata single digit wengine zero
Inshort malezi na utambuzi ndo humfaya mtoto afaulu

Elimu ni mazingira na kurithi km wazazi hatuwaandalii watoto mazingira ya elimu watafeli tu na kama karithi akili ndogo ndo kushneiii
Mzazi asipotambua umuhimu wa elimu hatafatilia elimu ya mwanae.
Hata kama kakosa pesa anatakiwa afatilie,amsaidie kupata tuition ili mwanae asome.

Ukifika mchikichini unakuta watoto wengi wa gov wakisoma na kwenda kimbiza
 
Wabongo kwa kijicho hamuwezekaniki kwa kweli.
Kwa hiyo wanaodondokea huko wote ni wale wanaojitambua, na wenye elimu nzuri na wanaojiweza kimaisha?
Hivi tukianza kuwaorodhesha wale wanaofanya matendo hayo unadhani ni wa kutoka levels zipi za maisha watakaoongoza?
Humu pamejaa wachawi tupu.

Hawa ndio wanaotuloga.
 
Nyie wapuuzi mnaosema huyo mtoto kaleft group.

Mnakosea tena Mnakosea Sana
Mnataka mtu aweje mseme ili mridhike kwenye nafsi zenu, Binafsi ushoga naupinga sana tuu. Lakin siwez kujitoa akili na kusema huyo mtoto ni Shoga. Watu hamna Exposure kabisa hamjakutana na vitu tofauti, hamjaona watu tofaut. Kila siku mko na watu wa level zile zile hapo mnajifunza nini ??

Huyo ni mtoto mdogo tuu around 16 or less bado hajakomaa kama wewe hapo, Maisha yake ni tofauti na yale uliyokulia wewe huko kwenu(analala pazuri, anakula vizuri, hana stress za kipuuzi, hateswi kwao, ana malengo yamenyooka)

He speaks his mind with honestly voice. Kama umekosa cha kusema ni bora useme huyu mtoto NI PHYSICALLY WEAK na sio eti KALEFT GROUP mlaaniwe wote mliosema hivyo.

Watu Kama Benjamin Fernandes mmiliki wa Nala pia mtasema Ni shoga sababu tu ya tone yake ya kuzungumza and being humble guy. Watu wajinga kama hao huko juu wanatak u'act rude eti ndio kidume

Imeniuma Sana, kwa kweli badirike Jaribuni kua " Open minded " msisemee watu vibaya tofaut na uhalisia
Wivu wivu wivu unawasumbua
 
We ndio jinga kabisa...angalia page za wazazi wake,inaonekana hata hujui wazazi wake....mama yake anaitwa Haika lawere na baba yake somebody magesa wa bandarini. Wazazi wake wako wanazurura tu mara Clouds etc utadhani mtoto kawa top in the world..na angalia page za wazazi wake ndio uje uongee utumbo
We wazaz wako wanajivunia nn na wewe?Acha wajivunie inakusumbua nn?mpuuzi kweli wewe,we ndio ulimlipia ada?bure kabisa wewe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom