Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Mwanafunzi wa Feza ashangaa wanaofeli mtihani wa NECTA

Lafudhi na ongea na ongea yake kakopi kizungu zungu , huyu dogo hata ukimwambia aongee lugha ya kabila lake anaweza shindwa kabisa ...
 
Sema kweli kufeli NECTA kwamba ukose 1,2,3 hata 4 ya kwenda certificate inashangaza sana tena hasa kwa kizazi hiki cha form 4 cha utawala wa Mwendazake na kuendelea na hii haijalishi umesoma kayumba au laah.
TEmbea uone ndugu, kuna shule mwalimu wa somo anaingia darasani mara 4 au 6 kwa mwaka na huyo mwalimu analeta notice tu, na anawambia wanafunzi kuwa hilo sio somo lake msubiri mwalimu wa somo akija atawafundisha nyie andikeni notisi tu.
 
Mitaala ya Kizungu kwa sasa wameongeza na somo la ushoga, najiuliza hizi shule za bongo zinazojinasibu kutumia hiyo mitaala wataendelea kuitumia.
 
Sihitaji kupeleka mtoto shule alafu aanze kusahau Kiswahili na kujirembua (kuongea kwa ishara) namna hii. ukileta mtoto wa kizungu hapo utakuta anaongea straight tu, ila wa kibongo lazima alete mbwembwe. au angeletwa hata wa international school of TAnganyika tu. hata hivyo, nampongeza mzazi na mtoto kwa hatua hiyo.
Huyo ni mtoto, hatahivyo anaweza kujieleza mbona wapo wengi na degree zao lkn hawezi kuongea hivyo.
 
Ni kweli ile mitihani sio migumu.

Huwa wanatoa kile kimefundishwa shuleni, sasa hizi familia zetu tia maji tia maji ndo changamoto.

Kuna uzi humu wadau wanalalamika kulipa 2000 kwa mwezi ili mwanae afanye mitihani kila jumamosi.
Wanasema ni utitiri wa michango, mtoto akiomba daftari la mazoezi bado wanalalamika kinoma.

Wakati huo hao madogo wengine wanapiga pepa almost kila wiki, tests kibao zinazoendana na hiyo Necta watakayoifanya.

Wewe mwanao anakuomba jero achangie ticha anunue karatasi na kuprint huo mtihani. We unavimba.
 
Wakati wakienda bar na kwenye masherehe wanavimbishwa kwa lazima
 
Mbona mtoto wa msoga alizungusha buyu hapo hapo feza na yeye tumuweke kundi gani.
 
Unajua sio kwamba dogo anatania mimi mwenyewe hadi leo bado nafanyia utafiti ubongo wa mwanadamu kwasababu sioni sababu hadi leo mwanafunzi kufeli
 
Back
Top Bottom