Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 13,005
- 27,083
Kabisacha kushukuru Mungu wengi tumo humu tumetoka maisha ya aina hii. tunamshukuru Mungu.
Kabisacha kushukuru Mungu wengi tumo humu tumetoka maisha ya aina hii. tunamshukuru Mungu.
Watu wanapenda tukuza shida na umasikiniDogo kaongea ukweli naona watu povu kutoka kwa wadau
Ova
Sijawahi kumsikiliza wala kumuamini mwanamke kwenye malezi ya watoto wa Ki-africa. Kuna kitu hakiko sawa kwenye gestures na kuongea kwa huyu dogo kama ni uzungu wazungu hawaongei hivyo.Mliomsema mtoto wa watu kuwa ni upinde sijui ameleave group, You are so evil and inconsiderate. Huyo dogo bado mdogo sana na ikiwa hajui maisha ya waTz wengine hawezi kujua kingine zaidi ya anachokiona.
Mpate kutubu.
Watu tunalelewa katika mazingira tofauti na ndipo yanatushape tuwe tulivyo leo.Sijawahi kumsikiliza wala kumuamini mwanamke kwenye malezi ya watoto wa Ki-africa. Kuna kitu hakiko sawa kwenye gestures na kuongea kwa huyu dogo kama ni uzungu wazungu hawaongei hivyo.
It is obvious sis, hata kama hatujawahi kukuona ukiongea ila maandishi yako yanaeleza hicho.Kumbe nina akili eeeh,maana huwa ninaongea na mikono pia.Sikuwahi hata kulijua hili .
Utajiri unaingiaje na kufauluBado ni mtoto anazungumza anachokiaona machoni mwake, siku akiwa na utambuzi atajua ni kwa nini wanaofanya hizo NECTA wanaona ngumu.
Ni sawa sawa na mtoto anayemuona Baba yake ndio tajiri pekee duniani.
Sina mengi sana, pamoja na utoto wake ila naona ana point.
Cc: Wanafunzi wa shule za St. Kayumba
skuizi watu wanaharakia sana kuhukumu, hata ukionekana umevaa nguo ya pink wewe ni upinde tayari....Mliomsema mtoto wa watu kuwa ni upinde sijui ameleave group, You are so evil and inconsiderate. Huyo dogo bado mdogo sana na ikiwa hajui maisha ya waTz wengine hawezi kujua kingine zaidi ya anachokiona.
Mpate kutubu.
Africa ukimtoa baba mtoto ameisha, Msingi wa malezi ya kimaadili kwa mtoto yanatokana na how good baba anahandle mtoto. Kama baba unatakiwa kuwa karibu sana na mtoto na kumuonyesha how men are.Watu tunalelewa katika mazingira tofauti na ndipo yanatushape tuwe tulivyo leo.
Hakuna gesture aliyotumia inayokupa wewe uhalali wa “kumpa majina” besides ni mtoto wa mtu, vaa viatu vya wazazi wake pia.
Well behaved people wote wamelelewa na wanaume? Na unajua kwa kiasi kikubwa Africa anayelea mtoto ni mwanamke, matokeo mazuri na mabaya juu ya malezi yote ni halali yetu…
Umepotoka!
Hii hakuna hoja uliyotoa ya kum discourage huyu mtoto asiongee KingerezaSihitaji kupeleka mtoto shule alafu aanze kusahau Kiswahili na kujirembua (kuongea kwa ishara) namna hii. ukileta mtoto wa kizungu hapo utakuta anaongea straight tu, ila wa kibongo lazima alete mbwembwe. au angeletwa hata wa international school of TAnganyika tu. hata hivyo, nampongeza mzazi na mtoto kwa hatua hiyo.
Mkuu huyu ni mtoto ana miaka 13Kuna tofauti ndogo sana baina ya kiburi na kujiamini.
Japo dogo anahisi kaongea kwa kujiamini, kihalisia kinachosikika hapo ni kiburi, majigambo na dharau.
By the way, bwana mdogo kesha left group. Uzungu mwingi una madhara yake nao. Nina hakika hapo alipo anaji identify kama 'they/them'.
Sawa ana akili nyingi, je marinda yapo?
Yaani Mimi ni mwalimu wa Shule za kata watoto wanajua album nzima ya harmo, betting,Mondi na singeli zotee...na mapenzi tuu...!![emoji2][emoji2][emoji23] D mbili tu zinakushinda alafu watu wakipata As unaungua moyo hajui wamewekeza pesa na muda wao kusoma...
Izo shule za serikali ndio tulizosoma tulio wengi na tumepata Grades nzuri tu lakini kwa kukomaa sio mchezo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
yaani mkuu hii nchi yetu umasikini unawafanya watu wanakua kama vichaaNyie wapuuzi mnaosema huyo mtoto kaleft group.
Mnakosea tena Mnakosea Sana
Mnataka mtu aweje mseme ili mridhike kwenye nafsi zenu, Binafsi ushoga naupinga sana tuu. Lakin siwez kujitoa akili na kusema huyo mtoto ni Shoga. Watu hamna Exposure kabisa hamjakutana na vitu tofauti, hamjaona watu tofaut. Kila siku mko na watu wa level zile zile hapo mnajifunza nini ??
Huyo ni mtoto mdogo tuu around 16 or less bado hajakomaa kama wewe hapo, Maisha yake ni tofauti na yale uliyokulia wewe huko kwenu(analala pazuri, anakula vizuri, hana stress za kipuuzi, hateswi kwao, ana malengo yamenyooka)
He speaks his mind with honestly voice. Kama umekosa cha kusema ni bora useme huyu mtoto NI PHYSICALLY WEAK na sio eti KALEFT GROUP mlaaniwe wote mliosema hivyo.
Watu Kama Benjamin Fernandes mmiliki wa Nala pia mtasema Ni shoga sababu tu ya tone yake ya kuzungumza and being humble guy. Watu wajinga kama hao huko juu wanatak u'act rude eti ndio kidume
Imeniuma Sana, kwa kweli badirike Jaribuni kua " Open minded " msisemee watu vibaya tofaut na uhalisia
Mtoto anaekosa division four ni abnormal nothing can make a student kupata four kwanza necta usahihishaji wake ulivo mwepesi wanasahihisha idea TU!Yaani jamani, hebu imagine...
Mtoto anashindwa kupata hata DIVISHENI FOO
Na mimi ndio mkuu wao hapa wa MADIVISHENI FOO nchini.
Unakunywa Nini?!!agiza bills kwanguu broooHumu kuna vizazi vya watu waliojikatia tamaa na kujifia kabisa. They are walking dead.
Wanalazimisha wote mfanane hali zenu, exposure na mitazamo.
Wamaona ni sifa kulima kwa jembe la mkono ushoga kulima kwa trecta, wanaona ni sifa kugombania daladala na ushoga kununua gari.
UKiwa ma msichana hajui kupika ugali wanaona umepotea kwa kununua mbuzi kwenye gunia, wakati kiuhalisia labda wewe ugali is not your thing.
Hata ukijenga nyumba yenye mfumo mzuri wa maji ndani bado watataka mke abebe ndoo ya maji kichwani au kabla hujaenda kuoga basi mke akafungulie shower ili unapoingia ukute maji yanamwagika.
anajua Kiswahili fasaha kabisaDogo anajua hesabu lakini hajui Kiswahili. Hii ni aibu sana kwa mzazi.